Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,111
Wewe ndo unasababisha anywe hivyo vitoko..... Unaongea sana wewe mwanamke. Inaonekana una mdomo mrefu sana bwege wewe!!!
hapana nashukuru sana nimekueleWaMimi nakushauri uwe mstahamilivu, usiharakishe kudai Talaka ! Mpende toka Moyoni Mwako , kuwa Mtu wa kufanya ibada na dua, jaribu kuona mazuri Yake zaidi, mfano Je anakunza Wewe na mtoto wenu Yani Je anawatunza Kama familia? Mkiumwa kwa mfano anawapa hela ya matibabu Au bima Yake? Je mahitaji ya msingi anawapatia? Kwa umri wako sizani Kama unafanya kazi Kama umeajiriwa basi ni vizuri ukiona yana kuzidi uondoke! Ila kusema ule ukweli wenye umri Kama wako pia huwa wanahamaki Kwa haraka, ukiweza kustahamili baada ya miaka kadhaa utakuja kujishangaa jinsi unavyo react sasa Kwenye hayo maswala! Kuishi na Mume kazi mdogo wangu ! Samahani Kama nitakuwa nimekukwaza mwaya!
AhsanteWewe ndo unasababisha anywe hivyo vitoko..... Unaongea sana wewe mwanamke. Inaonekana una mdomo mrefu sana bwege wewe!!!
Ahsante sana ujumbe muhimu sana huu ahsante mkuuHapo hamna ndoa.. Talaka ameshatoa tayari. Kama ni tatu au ni moja, soma hapa chini...
Wanazuoni wa Kiislamu wametofautiana kama talaka tatu mara moja zinahesabiwa kuwa ni tatu au ni moja. Hii ni kwa sababu kila kundi limetoa ushahidi kwa rai zao. Lakini kauli yenye nguvu zaidi ni kuwa mume anayetoa talaka tatu kwa mara moja inahesabiwa kuwa ni talaka moja lakini atakuwa amefanya makosa na madhambi katika tendo lake hilo na inabidi aombe msamaha.
Wakati mmoja Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alipashwa habari ya kuwa kuna mtu aliyetowa talaka tatu kwa mara moja. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) alikasirika sana na kishaa akasema: “Mnachezea Kitabu cha Allah, nami bado nipo baina yenu”(An-Nasai, na akasema Ibn Kathiir kuwa Isnadi yake ni Nzuri).
Na alikuwa ‘Umar (Radhiya Allaahu 'anhu) akiletewa mtu ambaye ametoa talaka tatu kwa mara moja akimpiga viboko (Ibn Abi Shaybah).
Na katika mas-ala haya Allah ametuambia: “T'alaka ni mara mbili” (2: 229).
Hii inamaanisha moja baada ya nyingine na wala siyo kuzitoa kwa wakati mmoja. Sayyid Sabiq katika Fiqhis Sunnah anasema kuwa hii ndiyo iliyokuwa njia iliyofuatwa wakati wa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam), Abubakr, ‘Umar na Makhalifa wengine (Radhiya Allaahu 'anhum) kabla kubadilishwa.
Tuko pamoja... Pole sana kwa yanayokukuta. Ila kumbuka kuwa "Hakika kila penye uzito kuna wepesi"... Allah akufanyie wepesi kwa mtihani ulionao. Mtegemee yeye na hakika hatokuacha mpwekeAhsante sana ujumbe muhimu sana huu ahsante mkuu
Jaribu kumuelewa huyo dada.... Stroke ni ugonjwa tu unaweza kuvumilia sana.... Lakini ulevi wa kupitiliza unaokupelekea kujitapikia, kufanya fujo yan ni ulevi uliobeba kudhalilishana na sio kwamba hajaongea nae ameshaongea nae mpk vikao lkn anahaidi ataacha bila kutekeleza ahadi ya kuacha hivyo ni shida.. ... Nilichotaka kusema kwa ugonjwa unaweza mvumilia lkn sio kwa starehe ya karaha ambayo akihamua anaweza acha.Miaka mi4 unajiona tayari umevumilia...?
Watu wanaishi ndoa za matatizo milele wewe minne tuu, acha kulialia mama ulifanya mwenyewe makosa ya kuolewa na huyo jamaa jitahidi kumvumilia umbadilishe kuachana utawapa tabu tuu wanao kama unao.
Ndoa za kislaamu nazo zinatabu yake kweli kitu kidogo talaka talaka tuu na hao bakwata baada kutuombea tuepukane na watu wasiojulikana wanasikiliza upambavu huu.
Matapishi tu ya mumeo unalalama, Kuna wanawake waume zao walipatastroke wamepalalaizi wanachamba hadi kinyesi wewe ungeweza kweli...?