Recent content by Jitukali 333

  1. J

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Kwa hapa nchini kwetu wanapatikana kwa wingi kwenye mapori na vichaka mkoani Tabora. Wakazi wa Tabora ndio wanamjua vema huyu nyoka. Kiufupi huyu nyoka ni hatari kupita maelezo, ndiye nyoka mwenye sumu kali kuliko aina zote za nyoka barani Africa.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

    Hahahaaaa......The same boiling water that hardens the eggs softens the potatoes.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wawili wa Uganda wahukumiwa kifo Somalia

    Mwambie kweli huyo, naona hajui hata hiyo simu anayotumia imetoka kwa haohao anaowaita makafiri
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aua mkewe kwa kumtusi ni bwege kitandani

    Kweli kabisa, hata mpangilio wa Habari ni wa ovyo kabisa.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji Pemba ahukumiwa Miaka 30 kwa kumbaka mteja wake

    Hahahaaaa........wakifanya hivyo vitaumana.
  6. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

    Uenda ilikuwa kwenye kona kali mara dereva wao akakutana na lorry.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Zambia: Hakainde Hichilema atangazwa mshindi wa Urais

    Tume za uchaguzi zikiwa huru Tume ya uchaguzi ikiwa huru ni raha sana. Hongera kwa Rais aliyeshinda.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa Kitongoji abaka shemeji yake ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la 6

    Nakubaliana na wewe, mtoto ukimzaa jitaidi kumlea mwenyewe sio kuwaachia ndugu zako wakulelee.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wahitimu wa vyuo walazimika kuolewa ili kuepuka ugumu wa maisha

    Hahahaaaa.......anataka mshee pamoja maumivu yake ya uchungu wa Maisha.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wahitimu wa vyuo walazimika kuolewa ili kuepuka ugumu wa maisha

    Kwa jinsi habari ilivyo, inaonesha dhahiri wanaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume ambao awajapenda ndio maana wanalalamika. Laiti wangewapenda wasingeongea huo utumbo.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Kodi ya majengo kwa kutumia LUKU sio ya Mpangaji ni ya Mmiliki

    Kwa hii comment yako inaonesha dhairi unamiliki nyumba.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Netanyahu aondolewa Uwaziri Mkuu

    Hata kabla ya hii miaka 12 mfululizo, miaka ya nyuma alishawai kuwa waziri mkuu wa Israel.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Urusi: Mashirika yanayohusishwa na Alexei Navalny yapigwa marufuku

    Kweli aisee....
  14. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

    Kumbuka Maalim Seif alikuwa kiongozi wa chama tofauti na unachokifiria.
Back
Top Bottom