Mwanza: Mwenyekiti wa Kitongoji abaka shemeji yake ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la 6

Hizi mambo za kupeleka watoto kwa mashemeji sio sawa kabisa.

Binaadam ni wanyama sana, watoto wanaharibiwa na watu wa karibu, wajomba na mashemeji, mabinamu sijui, yaan zile tabia za kulaza watoto wetu na wageni sio sawa kabisa. Huyo jamaa akabidhiwe kwa wananchi tu wao ndio wampatie hukumu
Nakubaliana na wewe, mtoto ukimzaa jitaidi kumlea mwenyewe sio kuwaachia ndugu zako wakulelee.
 
Nakubaliana na wewe, mtoto ukimzaa jitaidi kumlea mwenyewe sio kuwaachia ndugu zako wakulelee.
Watu wamekuwa mashetani mno yani hata ukimlea mwenyewe bado tu kuna mabaradhuri yataleta balaa.

Ubinadam kazi kweli.
 
Yani huyu jamaa walitakiwa wananchi wenye hasira kali wampe chai kidogo akili zingetulia, moja kwa moja angejipeleka jela na kupunguza msongamano wa watu kujaa mahakamani.
 
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kanami, Kijiji cha Isangijo wilayani Magu Mkoani Mwanza Robert Mfungo anatuhumiwa kumbaka shemeji yake ambae ni mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka kumi na mbili.

Inaelezwa Mke ambaye ni Dada wa Mtoto huyo pamoja na majirani waligundua Unyama huo na kuamua kukaa kimya

CloudsDigitalUpdates

----
Hao ndio ccm bwana,yani chama kunejaa majambazi,wabakaji,wauza papa,mafisadi....ccm mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom