Huwa naheshimu threads zako, lakini kwa hili naona umepinda. Kunukuu Maandiko Matakatifu isivyo halali kwa ajili ya kuunga mkono mawazo yako ya kukufuru si sahihi. Dhambi iliyomfanya M/Mungu Ashuke personally Sodoma ni hiyo ya ufiraji. Na wewe unalipa uzito mdogo!!!! Ushoga ni jambo linaloshusha...
Moja kati ya wanawake nilikuwa nawaona wapo makini JF ni Shammy- . Lakini nimekuja gundua ndo moja kati ya hopeless women I have met. Badili mtazamo mdogo wangu.
Benjamin Mkapa pia walitangaza nafasi za kazi za Medical Physicist ll. Nafasi 2 mwaka jana December 20, Hadi Leo ni kimya tu hawajaita Interview, sijui washazipotezea?
Suala la smartness ya mtu ni dogo ukilinganisha na maadili na miiko ya jamii. Taifa lolote lenye maendeleo wanazingatia nidhamu zaidi ya uwezo wa mtu au cheo au chochote alichonacho. Kiimani, Shetani maandiko yanamshuhudia Kama kiumbe mwerevu lakini tazama Mambo aliyoyasababisha.
Hawa watu...
Mwaka huu (2025) pia wametoa nafasi 4 za Radiation safety inspector ll (Nuclear Physics). Maswali yapi yanaweza kuulizwa wadau na je Kuna interview ngapi.... Kuna mtu aliniambia pia Kuna practical
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.