Haupo sahihi kabisa, 1. je Yesu alikua mzungu au mwarabu? 2. Hujawahi kufikiria kwamba yesu alikua na Ngozi nyeusi? 3.jiulize kwa nn Yesu alizaliwa Jerusalem na ukristo ulianzia hapo lkm kwa nn sasaiv makao makuu yapi Ulaya? je kuna nabii mzungu?. Ingia chimbo na ufanye utafiti upya
Sasa hayo maandiko ya wasumeria Nani aliandika km Anunaki walishuka wakaumba watu kwa ajili ya kuchimba dhahabu je hao wasumeria walikua ni nyani au waliandik historian baada matukio kupita?
Hayati Magufuli aliona hilo wazo la kuweka Akiba ya Dhahabu BoT na akaanza kuweka Sasa cjui bado tunaweka au vp....Dah marehemu aliona mbali san cpati picha km angefanikiwa kumaliza angalau miaka 5
Ni jambo dogo sana mkuu...Afrika ndio tutachelew na hatuwezi coz nchi zote za afrika ni tegemezi na viongozi wetu Mawazo yao ni finyu
ila kwa mataifa yanayojielew ni Jambo dogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.