Kuna uwezekano mkubwa, AY na Mwana FA wamefungua kesi ya masuala ya ukiukwaji wa haki miliki za kazi zao.
Mwanasheria maarufu nchini, Alberto Msando amepost picha Instagram akiwa kwenye mahakamu kuu ya Tanzania akiwa na rappers hao. “At the High Court of Tanzania, Dar Es Salaam. #UsijeMjini...
#pesa ni kiungio muhimu ili kufanya theory yako ifanye kazi vizuri
ukiweka na tujimfano kidogo kama wolper kwa $$$$ au wema kwa CK
hayo uliyoyataja yoooooooooooooooote yana fall kwenye pre mature stage..
we jitumbukize kichwa kichwa kama baada ya mwaka hujatumbuliwa
uanze mi status wasapp...
muda wa kuzungusha mikono umeisha bira mafanikio (malofa )
mkakati mpya ni kuwa mabubu bungeni:(:(:(:(:(:(
na ivi wanavopenda cheap popularity sindo tutawasahau kabisa wakina mdee,lisu,msigwa
naona wazee wameliona ilo ngoja tuone "kimkakati" isije kuwa remix ya kuzungusha vidole lakini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.