Recent content by jini makata

  1. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo lushoto aje tanga mjini sekondari Ameahidi nauli ya sh laki tatu kama utakuwa tayari
  2. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ngoja nimulize mwenyewe coz alitaka pwani kama anakubali nitakucheck
  3. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya Vituo vya Mabasi Arusha yana mvuto wa kipekee tofauti na Mikoa mingine

    Darajani Duka la dawa Kona ya gorofa Magengeni Kwasingano Duka la kwanza Duka la pili Vibandani Geti la kwanza Geti la pili Kwa mkorea Mikoroshini Kona Geti la shule Kona ya miringa Maduka ma tatu Kwa jaji Kwa mmasai
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata bikospote wanao option nyingi kwa timu moja ila naona kwa vile wageni haijaanza kufanya kazi sijui
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waliojiuzulu udiwani Meru wabwagwa kura za maoni CCM, wamwangukia Magufuli

    Ila jamani tuseme kweli nimemis sana lipumba
  6. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Idara ya msingi njooo lushoto aje pwani
  7. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Yuko lushoto anataka kwenda tanga mjini yupo tayari kumlipa nauli sekondari
  8. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamaa yupo lushoto anataka kuja tanga na atampa posho ya nauli elimu sekondari
  9. J

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Sekondari yupo lushoto anataka kwenda tanga mjini yupo tayri kumlipia nauli
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

    Nahisi kama tz imesimama vile vipi mkuu hajapiga simu bado
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shukran kaka
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jaman jana kanju kanipiga miwili nina hasira nae kishenzi kweli asie sikiliza la mkuu huvunjika guu jana sijafuta mkeka wowote hapa yakaniponza naombeni mikeka leo nilipize kisasa subaamit
  14. J

    JamiiForums Tanzania Apk ya Dream League soccer 2017

    Nakosea wapi wajameni mbona kila nikijaribu naishia hapa
Back
Top Bottom