Recent content by Jimy Jackson

  1. J

    msaada tafadhari

    bro Nurbert nimerudi tena, nimefanya ulivyonielekeza ila kila nikiinstal naambiwa "not enough memory" wakati bado kuna 64G zipo free?? so nifanyeje hapo?
  2. J

    msaada tafadhari

    asante kwa maelekezo
  3. J

    Windows phone vs android niende wapi?

    mm naomba msaada wa kuinstal apps na haya mambo ya android or window cna uelewa nayo sana. simu yangu ni iphone 4s. MSAADA TAFADHALI
  4. J

    Windows phone vs android niende wapi?

    mm naomba msaada wa kuinstal apps na haya mambo ya android or window cna uelewa nayo sana. simu yangu ni iphone 4s. MSAADA TAFADHALI
  5. J

    msaada tafadhari

    nina iphone 4s 64GB, so nahitaji kujua namna ya kuingiza app nyingine coz bado mpya na ndio mara ya kwanza kuitumia
  6. J

    JamiiForums' FREE iPad & iPhone/iPod Touch app is now released

    naomba mnielekeze namna ya kujiunga whatsapp kwa simu aina ya iphone 4s
  7. J

    msaada tafadhali

    wana jf kwa mwenye uelewa naomba msaaa wa namna ya kujiunga WHATSAPP kupitia simu aina ya iphone 4S
  8. J

    Ajira jeshi la police

    wana JF naomba mnisaidie hapa, hizi nafasi za ajira ktk jeshi la police zilizotoka hivi juzi, kwa siye tuliopo nje ya vyuo tunatumia njia gani kutuma maombi?
Back
Top Bottom