Recent content by jimwage

  1. J

    Masters Scholarship at Edinburgh Univ. for Tanzanians

    kila nafac za scholarships nisomapo huwa wanapendelea kutoa nafasi kwa watu wenye first class na upper second class.so mliopo mavyuoni pigeni gpa za juu ili mfaidi hizi nafasi adimu
  2. J

    Mpenzi wangu kanipotezea, msaada wa mawazo tafadhali

    ebu jaribu kumuuliza alikuwa anamaanisha nn katika hilo then kama haeleweki amsha popo kwani wanaume wapo kibao kama vp nipm kwa msaad zaidi
  3. J

    Kukabwa usiku na kushindwa kupumua vizuri usiku ukiwa umelala

    piga maombi ndugu yangu ulalapo na uamkapo hao wachawi tu dawa yao Yesu tu
  4. J

    Vpl live updates young african sc vs ashant united (25/01/2014)

    huwezi fanya maandalizi kwenye hali ya baridi wakati ligi inachezwa kwenye hali joto iyo itawacost yanga kwasababu watachelewa sana kupata magoli leo
  5. J

    Dhana ya "kumbemenda mtoto"

    kuna jamaa aliniambia kuwa kuna njia uzazi wa mpango inaitwa breastfeeding method ambayo mama anaweza kushiriki mapenzi ndani ya miezi 6 baada ya kujifungua na mumewe lakini sharti ni lazima mama awe anamnyonyesha vizuri mwanae angalau kwa siku si chini ya mara kumi na tano hiyo inapelekea...
  6. J

    Nimeondokewa na baba yangu!

    poleni wafiwa
  7. J

    Unalala na ch.upi kwani mimi ndugu yako ?

    duh wakubwa wanafaidi
  8. J

    Post (za ualimu) zimewekwa kama dakika 5 na zikaondolewa!

    kama ipo, ipo tu walim achen mchecheto
  9. J

    Love

    kazi buti utampata tu jf mwisho wa matatizo
  10. J

    Man Utd fan's player today

    duh kama kawa kichapo palepale mnakumbuka leo kusali mbona mkishinda hata hamukumbukagi kusaliiii....
  11. J

    Inawezekana nikawa sahihi,JF ladies hebu nipeni maksi hapa ....!!!!

    duh jf ladies big up..but hakuna ata gogo moja tu kama ivo mmetisha mbayaaa
  12. J

    Msaada: Amepofuka kwa kunywa Quinin

    pole sana ndugu...! ila izo dawa huwa zinasababisha kutokusikia vizur kwasababu nimekutana na viziwi wengi wamepoteza usikivu kwa sababu ya izo dawa ni hatari sana
  13. J

    Abiria chunga mzigo wako

    wa nyeto utamgundua tu....everytim anathink punyeto tu...!
Back
Top Bottom