Recent content by Jimondogwe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwanini mnakuwa hivi?

    Ila wakat mwingne tuelewe jaman,hii ni hal ya kusaidzana tu kwan kesho kwang leo kwako,so! unapotoa kashfa mara eeh kwan cc ndo tumeiba mara eeh tutake radhi;kwan nan kakurazmisha kutoa ushaur? acha watatoa wengne endelea na busnes zako LA ASIVYO! utakuw huna kaz za kufanya na kuw kimbelembele
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni kweli ya Magufuli au ni safisha UKAWA na visasi?

    Vizur sana jamaa yangu,umeongea vi2 vya msing kwel kias kwamba hata ww unaweza kutegemewa na rais ktk ushaur kwa kuliongoza taifa
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete ateua naibu Kamishna TRA

    JAMANIII!! Mbona hivyo tena! kupost v2 vya muda uliopita?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mchumba alitoroshwa akaolewa, sasa anataka nikamtoroshe

    Aaah! wee mbona kwanza unjdharirisha? huon kuw hukupaswa kupost kam ki2 kama hicho?wew c umemalza chuo kikuu au? wew c una stashahada ya elmu Tena mjanja kabxa uliepata elmu ktk sanaa? BADO unayo nafac jpange utapost tena kwahilo tumekuona!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kikulacho....!

    Ndo hivo mr.mshana,kikubwa ni kuvumiliana na ubnadam wetu! WA KICHAWI
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kashfa Bandarini Dar: Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade

    Mbona nae hakuw makin ktk kaz yake,alisahau kuw hapa kaz tu? ona sasa hayo mtatzo,jaman,mlioko maofsni fanyen kaz mtamlaumu bure tu maguful akat alshawatahadhalsha!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Huo ni uongo tu!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, moyo wangu unavuja damu

    Pole bwana lakini atarudi kwani miaka 9 ni kama miezi 9 kulea mimba ukitaraji mtoto!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wasio mfahamu Mke wangu Charty ndio huyu hapa

    Magumu,!!!! kifaa hicho
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nani anaandika hii script? Magufuli na Kikwete wote wanairudia tu...

    Amini kazi ya magufuli sio ya kubabaisha
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nani anaandika hii script? Magufuli na Kikwete wote wanairudia tu...

    Lakini mambo mengine mwapaswa kuamini. muache ubishi
  12. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Bukoba Mjini, Kagera - Septemba 21, 2015

    Duuuh! hatar! hiyo ndo TANZANIA ya sasa ilyojaa watu wenye akil pevu kisiasa! hatar kwelkwel!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nilimuheshimu sana kama kaka, leo hii ananitaka

    Acha kuuzba ukwel,ulvo ambiwa ni kwel, umexema kuw alkuw rafk yako xan had ukamuona kama kaka, hivyo haupo ubin wowote kat yako na yey so, alkuw anachukuw nafac ya kukupma kiakil,na ktabia acngewez ktoka nje kwan angeambulia mtu ace na nzur tabia,aidha malaya,acie jal watu! so amekaa naw kakujua...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa mkikimkiki tarehe 30 Agosti, 2015; Mada UTAIFA ( sera za vyama)

    Kwa njia ipi hayo maswali yatawafikia?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi

    Msitumie udanganyifu kuidharirisha chadema!
Back
Top Bottom