Aseee kaka pole sanaa ....i feel unachopitia mzee baba na inatia hasira sanaa yan wanaopewa ma mlaka wakiamua jambo lao watalifany kwa ushirikiano sanaa na hayo mambo bado yapo na yanatokea sanaa ..usikate tamaa Mzee baba keep going japo n pesa na muda unaondk ila pambania mzeee ...lakn ukumbuke...
Inaitwa UEM(united evangelical mission) zipo tofaut tofaut kasome utaona inayokufaa n ipii japo ishapita ila jiandae mana znakujaga tena
South to north volunteer
North to south volunteer
Binafsi kama mm moja ya technology ambayo nmeikubal sana n ya ukrain kutumia drone kushushia mabomu yao kuulia mrusi ii n kali sanaa yan unamsubiri wakuvamie vita vya ardhin uko mtwara wee uko zako nanjirinji unatuma drone zako kazaa zenye kamera kali za kuzoom unajua kabsa apa nikidondosha iili...
Aya jaman kijana wenu ..mdogo enu nimekuja nataman kusoma hii career ya programming na data analysis moyo uko mkunjufu...naomben ushaur apo wadau kwa course ya kwenda au kama kuna scholarships..ili niienjoy kucode na ku analyse vitu na mm ki digital....am 22 nahsi bado cjachelewa sana wakubwa
Yan watu wengi mme comment vitu ambavyo hamjafikilia na mme mu attack sana ..mnaleta tafsir ya wabongo ni wavivu kufikir na si kwel...iyo ada anayotoza n ya kukuandalia izo resume ,cover letter na kukufanyia maombi ya zile kazi ambazo boss atakua willing kutoa gharama ya usafir ya ww kufika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.