Recent content by JIMMY JORAM

  1. JIMMY JORAM

    Utamwambia vipi mwanaume kuwa hajawahi kukufikisha kileleni bila kumfanya ajisikie vibaya?

    Hiyo simple!!, Achague kimojawapo aendelee kubaki na msongo wa mawazo kwa handsame wake ama aachane naye akatafuta ambaye atamkojoza
  2. JIMMY JORAM

    Msaada katika kuomba mkopo 2023

    Ingia kwenye account ya RITA nenda sehemu ya ujumbe wa cheti kisha angalia pembeni kwa juu chukua ile namba inayoishia na -BV
  3. JIMMY JORAM

    Mikopo ya HESLB

    Mimi hapa; nimeprint form nikascan na ku submit; Ila Kuna badhi ya account za mwanzo ambazo zilisumbua ku submit baadhi ya vipengele mpaka leo in load tuu, ila kwa wanaoanza sasa hivi unalipia form hadi kuiprint usumbufu ni kidogo.
  4. JIMMY JORAM

    Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

    Nimekosea kuweka picha, kila nikijaribu kuibadili mfumo hauruhusu kubadili picha
  5. JIMMY JORAM

    Msaada kuhusu mawasiliano ya Bodi ya Mkopo (HESLB)

    Jamani ndugu zangu, kwa yeyote mwenye namba ya simu ya Bodi ya mikopo (HESLB) inayopatikana kwa urahisi anisaidie ili niweze kufanya mawasiliano nao; Huu mfumo wa kutuma maombi unanichanganya sasa!!!!
  6. JIMMY JORAM

    Mfumo wa *Online Teachers Applications System(OTEAS)* upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea.

    Ulituma sangap ikakubali ? Coz mi tangu asubuh mpka saiv imegoma Nilibahatisha ile asubuhi mida ya saa moja na nusu mambo yakakakubali
  7. JIMMY JORAM

    Mfumo wa *Online Teachers Applications System(OTEAS)* upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea.

    Ndio nimekupata kiongozi. Tatizo linakuja pale ambapo mimi nimeambatanisha Transcript harafu majibu yanakuja kwamba nimeabatanisha Grad A Certificate
  8. JIMMY JORAM

    Hakuna ujumbe unamtoa mwanaume jasho kama "sizioni siku zangu"

    Hataree, mpaka kijasho chembamba kinakutoka hata kama kuna bardi
  9. JIMMY JORAM

    Tetesi: IFM jamani....

    Kwa wale tulio Apply IFM naomba tujuzane kipi kinaendelea; make tangia jana kila ninapo ingiza CODE zangu ili ni Confirm ngoma ina search tuu bila majibu, namba za simu nazo hazipatikani.
  10. JIMMY JORAM

    IFM

    Kwa wale tulio apply IFM naomba tujuzane kipi kinaendelea mpaka sasa, Nashindwa kuelewa tangia jana Kila ninapojaribu ku conferm CODE zangu ngoma ina search tuu bila majibu
  11. JIMMY JORAM

    Division 3 point 15 kwa msichana anaweza kusoma degree kweli?

    Hapana mkuu, hajakidhi vigezo vilivyopo kwa sasa; ili mtu aweze kuapply chuo kikuu mpaka awe na point 4 katika masomo yake mawili; labda kama angekuwa na DD ama CE
  12. JIMMY JORAM

    Nyalandu azidi kumpigania Lissu, kuangalia uwezekano wa kupata rufaa ya matibabu Marekani

    Komaa kabisaa Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  13. JIMMY JORAM

    Je, Umewahi kudanganywa na mpenzi wako kama alivyonidanganya hapa?

    Hatari sana, mi nilidanganywa kwamba anaenda Dodoma kusomea usisita lakn saaiv anamimba ya jamaa..
Back
Top Bottom