Division 3 point 15 kwa msichana anaweza kusoma degree kweli?

apprentice1997

Senior Member
Jun 8, 2016
107
99
Habarini, ndugu yangu amepata division 3 point 15 matokeo yake ni kama ifuatavyo
Chemistry-S
Biology-E
Geography-D
je anaweza kweli kupata chuo degree yoyote hapa kwetu. nimesikia pia wasichana wanapewa priority hata kama na division 3 ni kweli?. asante
 
Minimum entry kwa kozi za degree ni 4.0 points ambapo anapaswa kuwa na atleast D mbili kweny masomo yake matatu xo ushaur wangu a-apply diploma mapema!
 
Siku Hizi Hakuna Kile eti Huyu ni Msichana atapata unafuu, Hakuna Hicho Kitu wala Msitiane Moyo Katik Hilo.. Tafuteni Chuo cha Diploma Dogo Akasome.
 
Habarini, ndugu yangu amepata division 3 point 15 matokeo yake ni kama ifuatavyo
Chemistry-S
Biology-E
Geography-D
je anaweza kweli kupata chuo degree yoyote hapa kwetu. nimesikia pia wasichana wanapewa priority hata kama na division 3 ni kweli?. asante
Hapana mkuu, hajakidhi vigezo vilivyopo kwa sasa; ili mtu aweze kuapply chuo kikuu mpaka awe na point 4 katika masomo yake mawili; labda kama angekuwa na DD ama CE
 
Wa kwangu ana III ya 13 geography D, chemistry E na biology D. Je anaweza kupata nafasi ya degree UDSM?
Kwa D mbili kuchukua degree anaruhusiwa ila sasa inategemea na chuo na ushindani uliopo katika kozi husika atakayoomba. kuhusu kwamba je atapata udsm tuseme tu ajaribu ila asiombe kozi zenye ushindani mkubwa na kama hatojali aombe pia Bsc with Education au Bed (Bachelor of science in education) hapo atachukua teaching subject moja, na hiyo ya kwanza atachukua two teaching ssubjects
 
Back
Top Bottom