Msaada katika kuomba mkopo 2023

PARTY B

Member
Oct 16, 2017
28
11
Naombasaada katika kijaza demographics information katika olams. Nikijaza inakuwa inazunguka tu nikisubmit, je nini changamoto pale maaana watu wa mkopo hawapokei simu
 
Pole kwa changamoto, pia ebu fafanua vzr ili tuelewe maana nimeshindwa kuelewa maelezo yako vzr.
 
Kwenye step ya kijaza demographics informations . Ukisha jaza taarifa hzo, nida na verification code ya rita ukibofya kitufe cha submit inazunguka mda wote bila kusubmit data
 
Nadhani inawezakua sababu ya mtandao pia mara ya mwisho umejaribu lini bro?
 
Nina list ya vijana zaidi ya 20 hapa nawafanyia application ya mkopo na vyuo.

Kiukweli mfumo wa bodi ya mkopo mwaka huu ni mbovu sana.

Sehemu ya mdhamini ndiyo kabisa inazunguka tu.

Wahusika waliangalie hili
Maombi_ya_mkopo_elimu_ya_juu_bodi_ya_mkopo_HESLB.jpg
 
Nina list ya vijana zaidi ya 20 hapa nawafanyia application ya mkopo na vyuo.

Kiukweli mfumo wa bodi ya mkopo mwaka huu ni mbovu sana.

Sehemu ya mdhamini ndiyo kabisa inazunguka tu.

Wahusika waliangalie hili View attachment 2702825
Nisaidie mm ntakucheki tsap maana siwaelew an board ya mkopo
Nina list ya vijana zaidi ya 20 hapa nawafanyia application ya mkopo na vyuo.

Kiukweli mfumo wa bodi ya mkopo mwaka huu ni mbovu sana.

Sehemu ya mdhamini ndiyo kabisa inazunguka tu.

Wahusika waliangalie hili View attachment 2702825
 
jamani tusaidizane kuhusu demographic information
na Birth Verification number kwa upande wakuomba mkopo
unaipataje hyo birth verification number
 
Ingia kwenye account ya RITA nenda sehemu ya ujumbe wa cheti kisha angalia pembeni kwa juu chukua ile namba inayoishia na -BV
 
Back
Top Bottom