Kwa maelezo yako mkuu nikuwa huwezi mridhisha mwanamke yeyote! Hakuna mwanamke anaweza ridhika dakika1 .ila ungekua unaweza pig kimoj tu angalau dakika kumi hapo sawa. Hao wanawake ambao unaambiwa hawapendi purukushani wapo lakini mpaka waridhike angalau kimoja tu.fanya mazoezi na chukua...
Mtoa uzi nimekupata vyema kabsa. Point hapa sio kuendekeza mfumo dume au kusema hiki wnawake hawawezi suala ni mipaka! Kuna vitu kutokana asili ya miili yetu na jinsia vinatubana kufanya na ndio asili yetu usilazimishe
Mwanaume hata uweje huwezi mnyonyesha mtoto sababu huna matiti, mwanaume...
Kwa kauli hizi za hawa mabinti wawili humu nasema kwa mabinti kama hawa wacha tu mapleya wadili nao.uzuri wa wanaume utamzingua huyu Yule atatkukaza [emoji23][emoji23][emoji23] nasisi tukishajua wewe unajifanya top ila mwanetu kakukaza hapo ushindi wetu wote. Na nduomana mitungo inatokeaga...
Hii mbwa imetikea wapi tena, mwenye bunduki aniazime ifie mbali shenzi. Wakati wenzie wnajipigania kuwa independent yenyewe inaleta stories za kifala
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu hii mameni wnayo pia tena saaana wakikutana but kwa wanaume nachojua tunasimuliaga kwa mademu wale either michepuko au wakupita tu. Mimi kamwe sijawahi na siwezi kumwambia mwana mambo yangu ya chumbani na my main chick. Kwanza ni upuuzi na ndio kumuhamasisha amsumbue mtu wako. Hata nikisema...
Katika maisha zingatia kitu kimoja
Hakuna hata siku moja urafiki wa mwanamke na mwanaume nakauhakikishia hakuna. Ni urafiki wa chui na swala. Labda kama humvutii kabsa huyo mwanaume. Lakini wnaume sikuzote wnatamani mwnamke hata mkaeurafiki miaka 20,ukioa siku anajifanya anakusifia matiti sijui...
Wakuu napenda kuchangi hoja hi I rasmi sasa
Shukrani kwa mtoa Uzi huh na wachangiaji wote naheshimu maoni yenu
Kwanza kabsa namuunga mkono jamaa asilimia mia kutokana na uzoefu nlionao kwa kupitia, kuona, kuskia pia.
Nimeona wanawake wengii sana wakiangukia kwa hawa mapleya sababu ya...
Nishaona mademu wanaotongoza kwa vitendo na maneno, tena wachana na hao wabaya wao wazuri kabsa. Nimeona hii tangu nipo shule ya msingi na mimi ni moja ya watongozwaji
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.