Recent content by Jimmy Georges Gilbert

  1. Jimmy Georges Gilbert

    Anahitajika Mwalimu wa Video production & Editing, Graphic design & Motion Media

    Mahokoto yame zingatiwa haje? Mana si rahisi ujuwe !!! Sio nijitowe huku napewa 65M tu !!!
  2. Jimmy Georges Gilbert

    Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

    Ukweli mtupu huo. Balthasar wapo hadi safarini !!!!
  3. Jimmy Georges Gilbert

    Ulipokuwa mtoto ulitamani ukiwa Mkubwa uwe nani?

    Nili taman kuwa rais wa nchi yangu
  4. Jimmy Georges Gilbert

    Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

    Mda mwingine izo pongezi ni za kuwavunja moyo wale wana tumia bia. Jamii zetu huwa na tabia ya kumchukulia mtu anaye kunwa bia kama mzembe, mvivu, irresponsable. Wakati kule bar kuna watu nao ambao wame ajiriwa kuwa wahudumu.
  5. Jimmy Georges Gilbert

    P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

    Ukweli yana umiza mno kila tukisoma taharifa izo za ushenzi. watu tumrudilie mungu.
Back
Top Bottom