Recent content by Jimmy George

  1. Jimmy George

    Uzushi wa waraka namba nne wa elimu usipuuzwe

    Habari ndugu zangu. Hivi karibuni umeibuka waraka wa elimu ambao umetajwa na walioandika kuwa ni waraka namba nne wa elimu waraka ambao wizara ya elimu wamekanusha kuwa ni batili. Waraka huu umeandikwa mambo mbalimbali ila kikubwa kuna hoja kama mbili kubwa 1. Masomo kipindi cha likizo na 2...
  2. Jimmy George

    Bungeni: Mbunge wa CHADEMA amtimua mpangaji wake ambaye ni Askari Polisi, adai haoni maana ya kushirikiana nae, Waziri Lugola amtisha

    Kweli "kujisaidia ajisaidie kuku akijisaidia bata kaharibu" wao kauli zao huwa hazivunji amani ila wengine amani inavunjika,basi wengine wana kauli kali
  3. Jimmy George

    Hivi mtaani kwako bado vipo hivi Vyama?

    Naomba kuuliza mtaani kwenu mnajua kuwa tuna vyama vyote hivi? Au ndiyo hiki hiki kinachoonekana kwenye ramani ya uchaguzi wa mwaka huu?
  4. Jimmy George

    Wasanii wanachokifanya ni ubaguzi

    Hahahahaha ni kweli lakini usemayo
  5. Jimmy George

    Wasanii wanachokifanya ni ubaguzi

    Nyimbo ya Diamond aliimbia CCM na siyo mtu
  6. Jimmy George

    Wasanii wanachokifanya ni ubaguzi

    Kaimbwa wimbo mzima ?
  7. Jimmy George

    Wasanii wanachokifanya ni ubaguzi

    Wanataka jina tu wasifiwe na mkuu
  8. Jimmy George

    Wasanii wanachokifanya ni ubaguzi

    Sina uhakika kama yanatoka moyoni
  9. Jimmy George

    Wasanii wanachokifanya ni ubaguzi

    Habari wakuu, Kwa sasa kumeibuka wimbi la wasanii wengi kutunga na kuimba nyimbo za kumsifia na kumpongeza Mhe. Rais Magufuli. Siyo tatizo ni vizuri kumpongeza ili kumtia moyo Rais wetu kuendeleza mapambano. Mimi binafsi naona kama ni wabaguzi na wanafiki, kwa sababu katika marais ambao...
  10. Jimmy George

    Kumbe nguvu ya Mhe. Lowasa ni kubwa na ndio ilikibeba CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2015

    Hivi mummy,ni kweli kabisa inawezekana mtu anaacha shughuli zake anaenda kuchukua fomu ili akaiharibu ? Basi tuna wapinzani watu wenye akili ndogo sana nchi hii
  11. Jimmy George

    Hivi Harmonize kachukua Tuzo ya MTV au hajachukua?

    Kwani zile za AFRIMMA za kipindi kile kabeba zilikuwa ni nini ?
  12. Jimmy George

    Chama cha Mapinduzi chapita bila kupingwa Jimbo la Hai

    Maeneo mengine huenda kuna uhuni unafanywa na CCM ila kuna maeneo CHADEMA wanajiharibia wenyewe,mfano huku kwetu wamemsimamisha mtu ambaye hakujiandikisha kwenye daftari sasa hapo tutasema wameonewa? Ila naiona tarehe 24 vituo vitakavyokosa wapiga kura.
  13. Jimmy George

    Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Wameandaa mashindano ya mbio,wengine wamewafunga kamba na wengine wako huru na filimbi inapulizwa aliyekuwa huru anashinda na waandaaji wanasema "hakika hawa wana kasi sana"
Back
Top Bottom