masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,380
- 19,279
Duuuuh acha madiharaWajinga tu.Kama hako ka Nandy Naona ukimwi wa naniliu Bado haujakolea
Duuuuh acha madiharaWajinga tu.Kama hako ka Nandy Naona ukimwi wa naniliu Bado haujakolea
ukaribu siyo kuitwa ikulu,, hujui anawawezesha vipi ?Habari wakuu..!!
Kwa sasa kumeibuka wimbi la wasanii wengi kutunga na kuimba nyimbo za kumsifia na kumpongeza Mhe. Rais Magufuli. Siyo tatizo ni vizuri kumpongeza ili kumtia moyo Rais wetu kuendeleza mapambano.
Mimi binafsi naona kama ni wabaguzi na wanafiki, kwa sababu katika marais ambao walikuwa karibu na wasanii alikuwa ni Rais mstaafu Kikwete. Mara kadhaa amewaita Ikulu, aliweka tararibu za namna ya kulinda kazi zao na pia alitoa fedha kwa ajili ya kuwajengea studio. Lakini sijawahi kusikia hata wametunga nyimbo kumsifia kwa lolote zaidi ya kipindi chake waliweza kutunga nyimbo za kusisitiza kulinda muungano na umoja.
Huyu wanajua anagawa pesa taslimu siyo mchezo.Habari wakuu..!!
Kwa sasa kumeibuka wimbi la wasanii wengi kutunga na kuimba nyimbo za kumsifia na kumpongeza Mhe. Rais Magufuli. Siyo tatizo ni vizuri kumpongeza ili kumtia moyo Rais wetu kuendeleza mapambano.
Mimi binafsi naona kama ni wabaguzi na wanafiki, kwa sababu katika marais ambao walikuwa karibu na wasanii alikuwa ni Rais mstaafu Kikwete. Mara kadhaa amewaita Ikulu, aliweka tararibu za namna ya kulinda kazi zao na pia alitoa fedha kwa ajili ya kuwajengea studio. Lakini sijawahi kusikia hata wametunga nyimbo kumsifia kwa lolote zaidi ya kipindi chake waliweza kutunga nyimbo za kusisitiza kulinda muungano na umoja.
Sina uhakika kama yanatoka moyoniwanachoimba kinatoka mioyoni mwao au njaa tu zinawasababisha?
Wanataka jina tu wasifiwe na mkuuHivi wanalipwa shilingi ngapi kwa kila wimbo?
Kaimbwa wimbo mzima ?Una uhakika kwamba hata Awamu ya JK hakuna Wasanii ambao waliwahi Kumuimba hadi Kumfagilia katika Nyimbo zao? Tafuta Albums za Bendi za Tam Tam iliyokuwa chini yake Muumini Mwijuma, Bendi ya TOT, Akudo Impact, Twanga Pepeta na Wasanii wa Kufokafoka wa hii Miziki yenu ya akina Juma Nature, Kala Pina na wengineo kisha rudi hapa utupe mrejesho. Muwe mnafanya utafiti kabla ya Kukurupuka na Lawama zenu.
Nyimbo ya Diamond aliimbia CCM na siyo mtuDiamond ana wimbo, nikki m-bishi ana wimbo... Miziki ya bendi ina wimbo nimesaha jina la bendi.... Fanya uchunguzi kabla ya kuleta mada
Hahahahaha ni kweli lakini usemayoumeshasema wasanii lazima waishi kisanii
Kweli kabisaKwa maoni yangu, nyimbo zinazotakiwa kutungwa na kuimbwa katika nchi nyingi za kiafrika, ikiwemo Tanzania, ni nyimbo za ukombozi wa kifikra. Hii ni sababu, nchi hizi zilianza na bado zinatawaliwa na wakoloni wa kiafrika tangu wazungu waziachie. Pia, wananchi wengi bado hawajikomboa kifikra, hivyo kuimba nyimbo za kusifia ni kukwamisha harakati za ukombozi wa kifikra.
Huyo msanii ndo yuko real.I'm sorry jk