Hivi mtaani kwako bado vipo hivi Vyama?

Jimmy George

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,733
1,645
Naomba kuuliza mtaani kwenu mnajua kuwa tuna vyama vyote hivi? Au ndiyo hiki hiki kinachoonekana kwenye ramani ya uchaguzi wa mwaka huu?
1573060021142.jpeg
 
Kwani vile 11 kikiwemo kimoja ninacho kifahamu, ni vyama au ushirika wa kukopeshana?
 
Unajiuliza baadhi ya hivyo vyama vinajiendeshaje! Havina uwakilishi kwenye ngazi yoyote ile, havina ruzuku, havina wanachama wanao eleweka! Halafu eti vinashiriki uchaguzi!

Kwa nini tusiseme hayo ni matawi ya siri ya ccm!
 
Back
Top Bottom