Recent content by Jimmy De Lite

  1. Jimmy De Lite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huyu Mwanamke ni wa aina gani?

    Ndo nin sasa
  2. Jimmy De Lite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tusijihangaishe kupenda kama hatujui haya mambo

    Juzi Kati bhana si nikapata pisi kali,nikatupa ndoano Mara ghafla pisi ikanasa chambo,tumeenda mpaka mwezi sijaombwa hata Senti bwana,nikaanza kujisifia kwa Wana kuwa nimepata pisi Kali kinoma na Wala siombwi chochote, Sasa Jana Niko nimekaa na sisters flani maeneo Mara Ile pisi yangu...
  3. Jimmy De Lite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafakari nini cha kumfanya...

    Kinacho fanya mpaka muda huu niwe sijawahi kuumizwa kimapenzi Ni kwa sababu huwa situmii pesa zaidi ya elfu kumi kuhonga. Bro 10M ndani ya miezi 6 kwa Hawa Hawa mademu wa Kibongo!!? Mtakuja kufa kizembe.
  4. Jimmy De Lite

    JamiiForums Tanzania Picha: Ommy Dimpoz na maboss zake

    Ommy watu Wana mchukulia poa Sana Ila huyu mwana kwa badae mtakuja mumsingizie anauza ngada, Save hii.
  5. Jimmy De Lite

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini Maalim Seif ameenda Chato kuonana na Rais Magufuli

    Makaburi Yanafukuliwa
  6. Jimmy De Lite

    JamiiForums Tanzania Jason Derulo

    Saiv katoa ngoma "Love not war" ni ngoma Kali club banger.
  7. Jimmy De Lite

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Ubovu wa Album ya Rayvanny umechangiwa na kutengwa na kupuuzwa na Mameneja wake

    Hakuna album pale ni upuuzi mtupu,acha kuipa lawama management,uwezo wa Rayvany ndo umeishia pale. Hata Diamond mwenyewe Album yake ya A boy From Tandale iliishia wapi, Hiyo ni ishara kuwa WCB kwenye upande wa Album hawako vizuri,Wako vizuri kwenye Single tu.
  8. Jimmy De Lite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ebwanaee,,, Mwaka jana mwezi wa 9 alihamia demu hapa jirani ninapokaa,Huyu demu alikuwa kahamishiwa kikazi tu,Hivo akawa amepanga nyumba hapa jirani na ninapokaa,Demu alikuwa mkali kinoma,yani kama kajala, sema yeye hakuwa na mwili mkubwa kama ule,Demu chocolate color flani,alafu nyuma ndo...
  9. Jimmy De Lite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mara moja moja
  10. Jimmy De Lite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Yeah ila ni mara moja moja sana mpaka yeye mwenyewe anitafute
  11. Jimmy De Lite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ebwanaee,,,Kipindi nimemaliza chuo 2018 pale D.I.T nikaona siwezi kukaa tu bila job,mhuni ikabidi nichukue piki piki ya hom ili nianze kupiga zangu boda boda. Siku ya kwanza tu nikawa nimepata abiria wa kike ilikuwa ni pisi kali ya kinyarwanda imepanda hewani alafu ina shape hili hatari,Demu...
  12. Jimmy De Lite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unadhani kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume tofauti na zamani?

    Ebu ngoja nikuulize,Hivi zamani nguvu za kiume wangeziongelea wapi?
  13. Jimmy De Lite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo siku ya tatu simuongeleshi mpenzi wangu. Ungekua ni wewe ungechukua uamuzi gani?

    Nilipoona ni wale wadada wanaofuata mizigo Dar sikuona hata haja ya kuendelea kusoma post yako bro. Hao wadada ni wauzaji tu kama wauzaji wengine Ila tofauti ni kuwa kajificha kwenye hicho kichaka cha biashara. Epuka sana mdada anayejifanya anakuja Dar kufuata mzigo wa viatu au nguo. Narudia...
  14. Jimmy De Lite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Girlfriend kichefu chefu kweli. Ndio aende hatua ya uchumba huyu?

    Madem wa hvo huwa ni wazuri Ila ni mpaka uwajulie,na ni watamu vby mno.
  15. Jimmy De Lite

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zijue sababu 10 za wanawake walioolewa kuchepuka

    Siku hiz married women kinachofanya wachepuke ni hiki👇 👉Good sex and heavy 👉Kupunguza stress Hizo ndo sababu kuu. Siku hiz ni rahis kumtafuna mke wa mtu kuliko demu wa kawaida.
Back
Top Bottom