Recent content by JIMMY BENNE

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Ant Ezekiel

    Ni nzuri ila ndio kama kawaida ya humu simulizi kuendelea ni kwa kusuasua
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    hahaaaa..!!! Mkuu nina mb za kutosha.Nikicheza kwa kawaida halina tatizo ila nikichakachua kwa L.patcher, ndio linaandika ujumbe huo
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Mkuu Kibajajitz msaada wako naona kila nikijaribu nachemka
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    wakuu nimefuata process zote kwa game la D-day frontline-commando, ila mwisho nikifungua linashindwa kufunguka unatkea ujumbe "Download paused because wifi is unvailable".Msaada wenu wakuu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Meya wa Bukoba Dr Anatory Aman awekwa ndani kituo cha polisi Bukoba

    Wewe hujauliza swali kwakutaka kujua ila kwa kulaumu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Meya wa Bukoba Dr Anatory Aman awekwa ndani kituo cha polisi Bukoba

    Acha kukariri kwamba kila wanachofanya Polisi wanakosea au wanamuonea mtu, acha mawazo mgando.
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    tubemate
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa ku-play video za kwenye blog kwenye Nokia X, Naomba msaada

    sawa mkuu
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa ku-play video za kwenye blog kwenye Nokia X, Naomba msaada

    sawa mkuu ila niki-play inagoma nakusoma "can't play this video"
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa ku-play video za kwenye blog kwenye Nokia X, Naomba msaada

    Wakuu simu yangu inatatizo laku-play video kutoka ktk blogs mbalimbali. Mwenye suluhisho wa tatizo hili msaada tafadhali.
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada tatizo kuhusu Nokia X

    Wakuu simu yangu inatatizo la ku-play video kutoka ktk blogs mbalimbali.Tafadhari mwenye suluhisho naomba msaada
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadilisha touch screen ya Samsung s3

    Asante Mkuu nitampigia
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadilisha touch screen ya Samsung s3

    Nashukuru sana mkuu kwa msaada wako.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadilisha touch screen ya Samsung s3

    Mkuu hao mawakala wanapatikana hapa Dar?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadilisha touch screen ya Samsung s3

    Wakuu juzi kati nimedondosha simu yangu bahati mbaya imevunjika Screen tachi. Je naweza kuipata wapi na gharama yake ikoje? NB: Simu bado inatumika kama kawaida ila muonekano wake sio mzuri.
Back
Top Bottom