Dah kwaiyo unamaanisha uyu broo anatupotosha kumbe eee maana mm ndo naanza kujifunza gari nkimfata napotea kumbe kwa maisha yetu ss mtaani short cut ni muhimu sana sasa upete leseni ukae miaka au mwaka mzima kweli ndo mpk upandishewe au upewe leseni nyingine
Dah broo umelezea vizuri mno adi nafurahi kweli asante sana kwa ufafanuzi wako ila mm pia na shida kaka mm nipo kitunda ukonga ndoto yangu ni kuwa dereva wa magari makubwa ila sijawai kuendesha gari yyt ndo nimeenda kujiunga ja shule ya kufundisha gari ila wameniambia mpaka niwe na cheti cha...
Dah mmenikumbusha mwezi wa nn kuna bus jina (kapuni) linatoka dar to bukoba karagwe lin kunguni watu tuling'atwa na kunguni mpaka yaani kuna mabasi mengine ni machafu kwa ndani
Mkuu Mimi na swali hivi ukienda kuomba kazi za udereva kwanini vigezo vya kampuni au watu ni eti uwe na uzoefu wa miaka miwili na ukuendelea ivi ii ni Sheria au maana kwa akili ya kawaida unawashawishi madereva kufanya kazi bali ni kwa kujua anatafta uzoefu na baada ya hapo anaenda sehemu nyingine
Kaka mm nipo kitunda banana ukonga pls mm kijana wa miaka 23 nafanya tu kazi za garden kwa binamu yangu ila ndoto yangu ni kuwa dereva wa magari makubwa yaani maroly na busi nilimwbia kaka yangu uyo mbaeni mtoto wa mjba wangu akanibia sawa lakini utakuwaunakaa wapi na kazi unaacha na pesa ya...
Kaka mm sijawai kuendesha gari yyt nipo kitunda ukonga ndoto yangu ni kuwa dereva magari ya abiria bus nifanye nn msaada tafadhari mm ni kijana mwenzenu naomba mnisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.