Interview ya udereva wa magari, maswali gani naweza kuulizwa?

454

Senior Member
Apr 23, 2017
136
193
Habari zenu Great thinkers,Wakuu Mimi ni dereva wa magari nimesikia sehemu Kuna Kampuni wanahitaji madereva wenye uzoefu.Nahitaji niende kufanya interview Je ukiacha test ya kuendesha Je maswali gani ntakutana nayo ili nijiandae nisijenikaangukia pua.Naomba mwenye uzoefu anisaidie ambae kashafanya interview nyingi za udereva alieshindwa hata aliyeshinda pia
 
Kuna Kampuni moja ya Mabasi ya Mikoani ( jina Kapuni ) ila siku hizi imejizolea sana Sifa nchini kwa kupata Ajali hasa kipande cha Morogoro, Iringa na Mbeya Interviews za Madereva wao huwa ni za maswali matatu tu kama yafuatayo:
  1. Unavuta Bangi / Bange? Ukisema huvuti katafute Kazi kwa Shangazi au Mjomba wako ( namaanisha umeikosa hapo )
  2. Umeshawahi kusababisha Ajali yoyote na ukaua? Ukisema hujawahi Kazi hupati ng'o
  3. Unaweza kubeba Hirizi inayopumua muda wako wote wa Safari? Sasa ole wako ujibu hapana Kazi hupati hapo
Mkuu hiyo Kazi unaomba katika Kampuni ya Mabasi ya Mikoani au Malori ya Mafuta au Daladala za Mjini tu?
 
Mimi niko serious Mkuu wewe unatania
 
Hahahahaaaa,,, ,,,,,,,,,sikutarajia leo kama ningecheka
 
Habari zenu Great thinkers,Wakuu Mimi ni dereva wa magari nimesikia sehemu Kuna Kampuni wanahitaji madereva wenye uzoefu.Nahitaji niende kufanya interview Je ukiacha test ya kuendesha Je maswali gani ntakutana nayo ili nijiandae nisijenikaangukia pua.Naomba mwenye uzoefu anisaidie ambae kashafanya interview nyingi za udereva alieshindwa hata aliyeshinda pia
Mkuu hakikisha unajua road signs zote na maana yake

Pili ujue keys issue zinazohusiana na gari kama vile kabla kuwasha gari vitu gani unapaswa kucheki etc
 
Maswali huwa yanatofautiana kulingana na mwenye magari anahitaji madereva wa aina gani

Kuna kampuni ukipata kazi utapelekwa darasani

Kuna kampuni ukipata kazi utakabidhiwa funguo na oda ya kupakia na kuendelea na kazi

Kuna kampuni ukipata kazi utapewa mtihani wa karatasi ujibu na mwisho utamalizia kwenye test ya vitendo
 
Utaulizwa maswali kama sign za barabarani, uzito unaoruhusiwa kubeba, na pia routes zote lakini randomly. Kujua kama unazijua ili ishiwe shida kwao kwa wewe kupoteza mda kutafuta njia.

Hizo ni baadhi ya maswali kama una experience ya miaka mingapi na reference ulikofanya pia utaulizwa
 
Nenda Driving school utafundishwa kuendesha Gari, Baada ya kuhitimu utapewa Cheti ambacho utaenda nacho TRA utapewa Leseni daraja D Baada ya Miaka mitatu Leseni itaisha Muda wake Rudi tena Driving school ili uweze kupata Cheti kitakachopelekea upate madaraja ya juu (C2,C2 & C3)
Kaka mm sijawai kuendesha gari yyt nipo kitunda ukonga ndoto yangu ni kuwa dereva magari ya abiria bus nifanye nn msaada tafadhari mm ni kijana mwenzenu naomba mnisaidie
 
Nenda Driving school utafundishwa kuendesha Gari, Baada ya kuhitimu utapewa Cheti ambacho utaenda nacho TRA utapewa Leseni daraja D Baada ya Miaka mitatu Leseni itaisha Muda wake Rudi tena Driving school ili uweze kupata Cheti kitakachopelekea upate madaraja ya juu (C2,C2 & C3)
Nashukuru sana ndugu yangu ni shule gani naweza pata kwa apa dar na bie zao zikoje samahani
 
Back
Top Bottom