Recent content by Jigsaw

  1. Jigsaw

    Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

    Busiba kapata bwana wa Kikongo . Fedha ya kodi inatumika kwenye ujunga kama huu.
  2. Jigsaw

    If I had my druthers....

    Huna uhakika ktk hilo. Vinginevyo labda utuambie unaishi na kukaa na genge la wenza wazimu wasio fikiri, kusikia wala kuona.
  3. Jigsaw

    If I had my druthers....

    Mwambie Rais awape wananchi hiyo Fursa ya kuunda Serikali utazame maana unachokiongea wewe ni ile habari ya " kama sio mtu fulani tusinge kuwa hapa" ukisahau ya kwamba na wewe ni muhusika. Wapo watu wanaweza.
  4. Jigsaw

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hawa ni wale vijana wa Chato walio letewa Containa la Computer na furniture toka United State of America. Kama hukuwa unafahamu Ukanda... fuata Twiga na Tembo.
  5. Jigsaw

    Daraja la Mto Wami kulikoni Serikali inalifumbia macho? Tunasubiri vifo ndio tukurupuke?

    Unaishi zama za mawe za vita vya mahandaki na mashimo. Unaficha na kuvumbika kambi za jeshi karne hizi za teknologia na utandawazi mkuu? Ukitaka kujua kule kijijini mahindi yako yanaendelea je huna haja ya kupiga simu. Ingia internet utapata kila kitu live, hata kima unaweza kuwaona kama wapo...
  6. Jigsaw

    Video vixen wa Kayumba atanichukulisha mkopo

    Bwana mdogo DREAMBOY Ulifanikiwa kupata contact za huyu Ant.?
  7. Jigsaw

    Nyakirang'anyi Mauza: Ni tapeli kama inavyodhaniwa?

    Ni uuaji sawa na ule wa kuwabebesha wafanya kazi wa Bandari makontaina ya ya meza chakavu toka Marekani wakati miti na vyuma vya kutengeneza meza tunavyo hapa nchini. Rais akirudi Dar amalizane na hili pia.
  8. Jigsaw

    TANESCO wahukumiwa kuilipa IPTL Tshs Billion 700 ikiwemo Tshs Billion 306 zilizochotwa katika Account ya Escrow

    Kuna wapuuzi wachache wanataka kuleta habari za nani alifanya hili na nani alifanya kile ili tu kujaribu kumtakatisha aliyepo kwa kuwatupia lawama waliopita. Hii nchi ni kubwa, Ukiingia kwa pupa utatoka mchafu tu. Mtawabana watanzania humu lakini sheria za kimataifa hazito tuachia hata kidogo.
  9. Jigsaw

    Mfanyabiashara Timotheo Wandiba ahukumiwa miaka 81 kwa kujipatia Bilioni 2.1 kwa udanganyifu

    Mmezoea tabia za ninyi kuwa sahihi. Mfundishe basi wewe ambaye umezaliwa na kitabu cha sheria tumboni.
  10. Jigsaw

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Hahaa. Kama jibu halikuwa sahihi weka alama ya X. Uendelee na page ingine mkuu.
  11. Jigsaw

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Nimeelewa ulichoandika na jibu lake ndio hilo hapo.
  12. Jigsaw

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Akipata Tuzo ndio itaongeza uchumi wa nchi.? Fanyeni kazi acheni ujinga. Wenzetu wanafikiria jinsi ya kubadilisha nchi zao sisi tuna himizana kupigiana kura za kijinga.
  13. Jigsaw

    Serikali: Kuanzia Januari 01, 2018 kodi ya nyumba za kuishi na ofisi, bei ya ardhi, gharama za elimu/afya n.k ziwe TZS

    Ongezeni mishahara na toeni ajira za kutosha. Acheni unafiki wa kuokoteza okoteza vijisenti kila mahala. Kazi zimewashinda uchumi wa nchi unadondoka.
  14. Jigsaw

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Mtangulize Mungu kwenye hili la miaka 7 mkuu. Watu wanadondoka sana kila mwaka. Huyo unaye mwambia anaweza pata Stroke mnaweza kumwacha na afya njema tu.
  15. Jigsaw

    TANZIA: Naibu Waziri wa Mazingira, Kangi Lugola afiwa na mke wake

    Acha kubishana kama mwana CCM . Umekosea huhitaji kuendelea kujikosesha kwa kuunga unga maneno. # Samahani nimekosea kuandika .
Back
Top Bottom