Recent content by JIGOKU IKAYA

  1. JIGOKU IKAYA

    Riwaya:Mtuhumiwa

    Nakuja
  2. JIGOKU IKAYA

    Nauza welding motor

    Kwa mwenye kuhitaji bidhaa hiyo nitafute kwa bei poa kabsa. Zipo za kutosha
  3. JIGOKU IKAYA

    Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

    2011 nilkuwa chuo. Baada ya kuripoti kuna orientation ambayo tulikimbizwa umbali km 20. Baada ya hapo mazoezi ya viungo kama masaa 2. Siku ile nilichoka sijawahi ona. Chuo kilikuwa kinatoa chai tu vitafunwa in juu yako. Nilikuwa nimechoka na njaa mpaka nikawa natetemeka. Nikaenda kuchua chai...
  4. JIGOKU IKAYA

    Bila kudhibiti uzazi, uchumi kukua itakuwa shida

    Ukiwaambia hiyo HOJA ya uzazi wa mpango utasikia, "Hayo mayai yaliyobaki nayapeleka wapi" Kazi IPO kwa hilo
  5. JIGOKU IKAYA

    Natafuta mchumba wa kuoa

    Nina miaka 27 Ni mwajiriwa serikalini Ni mkristu Msukuma. Awe na sifa zifuatazo [emoji173]miaka 22 hadi 32 [emoji173]mpenda maendeleo [emoji173]mcha mungu [emoji173]kama amezàa angalau mtoto 1-2 tu [emoji173]awe tayari kupima. Karibu kwa 0759460860.
  6. JIGOKU IKAYA

    Msaada tatizo la ngozi usoni

    Habari zenu wanajamvi? naomba ushauri na matibabu nina tatizo la ngozi ambalo limenisumbua kwa muda mrefu karibu miaka kumi sasa linavyokuwa lipo juu kidogo kwenye jicho la kushoto uanza kwa ngozi kukauka Kuwasha unapokuna hutoa magamba. Baadae hutoka vipele ambavyo huwa na majimaji, katika...
  7. JIGOKU IKAYA

    Nisaidie kwa hili

    Wanajamvi habariiii.....,. Mi kuna jambo linanisumbua. Eee bana natamani wanawake walionizidi umri. Nina miaka 26 tu. Wanawake 35-45 nawazimia sana. Lakini sina ujasiri wa kuwatokea kwa sababu nawaheshimu kwa umri wao. Kutoka MOYONI nawapenda mno. Wanajamvi naomba mwenye uzoefu na hawa anipe...
  8. JIGOKU IKAYA

    Mkurugenzi Lushoto azuia shule zote zisifungwe muhula wa kwanza

    Nyie walim wakuu na maafsa ELIMU kata mnachangia kwa kiasi kikubwa kuua ELIMU tz. 1)Mnaongoza kuwansaliti walimu na kuwanyanyasa kwa sabu ya madaraka allowance. H 2)Mnakosa HOJA kwenye vikao sabu mnaogopa vitisho vya hao jamàa zenu 3)Walimu mnawaona kama wanafunzi wenu. Sasa mnakuja...
  9. JIGOKU IKAYA

    Mkono wa sweta (govi) ninalo ila hakuna anaejua kama ninalo

    Hakuna jambo ka hilo. Magonjwa wanapata wote
  10. JIGOKU IKAYA

    Mkono wa sweta (govi) ninalo ila hakuna anaejua kama ninalo

    Sijawahi kuona huo uchafu kwangu. Kuhusu magonjwa nishazika wenye tohara wengi, kwa hiyo huna sababu ya kuringa mkuu.
  11. JIGOKU IKAYA

    Mkono wa sweta (govi) ninalo ila hakuna anaejua kama ninalo

    Wanajamvi ktk maisha ni kuchagua na si kuchaguliwa. We umechagua kung'oa mi napanda, na hakuna tofauti kabsa ktk hilo. Kukamilika sio kuondoa govi. Kama mechi nacheza mpaka ndondo utanismbia nn LEO afu nikuelewe. Nishasema sitoi hata yesu ashuke. Kuhusu magonjwa mi nashangaa sana...
Back
Top Bottom