Hivi huyu jamaa ana upeo gani wa elimu? na katika jimbo lake anajuwa vizuri kero za wananchi wake? Mwenye profile yake tafadhari aiweke hapa, maana vitu vingine vinaweza kuwa ni issue ya knowledge. Hii ni sawa na taarabu au ngonjera. Kuna Tamalizeni au wale jamaa wa Fataki anaweza kujiunga nao...
Sabodo kama Mzalendo wa kweli anajua anachokifanya nasisi wengine tuchangie hata senti tano ili Chadema waweze kutoa elimu hasa kwa watu wa vijijini ikiwa ni pamoja na kufungua mashina nakumbuka kuna program ya washa taa hii iliishia wapi? ilianzia nyanda za kusini!
Chama chochote kile kitakachokuwa na sera za kuwajari wanyonge hakika kitashinda Tanzania, Kama Mwalimu aliona sera za Chadema ni nzuri ndiyo maana aliona kuwa hiki chama kinafaa hata Mzee Edwin Mtei alikuwa na nia ya dhati ya kumpa hizo Sera mbadala kuonyesha kuwa hakuwa tayari kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.