Recent content by jichopevu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mount Engine ya RAV 4 Kili Time mguu wa kulia ipo?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tandika

    kwa vipi mkuu?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tandika Kaburi Moja

    Habari wana jf Nyumba inauzwa ipo tandika kaburi moja sifa za nyumba: ina vyumba vitatu vya ndani vyote master ina vyumba viwili na sitting room zake kwa nje ila bado vipo ndani ya fensi ina fremu ya duka ina sehemu ya jiko ina choo cha nje inafikika kwa gari mpaka mlangoni ina tiles kot...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tandika

    Habari wana jf Nyumba inauzwa ipo tandika kaburi moja sifa za nyumba: ina vyumba vitatu vya ndani vyote master ina vyumba viwili na sitting room zake kwa nje ila bado vipo ndani ya fensi ina fremu ya duka ina sehemu ya jiko ina choo cha nje inafikika kwa gari mpaka mlangoni ina tiles kot...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ndoa inavunjika wakati wanapendana

    nikajua ni mimi tu ambae sijaelewa..
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kulia kwa sababu ya mchepuko

    Mambo mengine ni magumu sana kuyaelewa...mojawapo ni mapenzi
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini mzee Yusuph kaacha mziki na Diamond anaendelea..wote si wana imani moja?

    Level za imani zao ni tofauti....
  8. J

    JamiiForums Tanzania Swebe wapi Jerry?

    Amekuwa teja kweli...inasikitisha sana.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume warefu...

    Shirika la utangazaji la uingereza
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni sahihi kuweka udhaifu na siri za ex wako hadharani?

    Huo ni uzwazwa grade A+
  11. J

    JamiiForums Tanzania At least 321 people were killed and hundreds more injured in 8 blasts at Sri Lankan hotels and churches on Easter Sunday

    Toa ushahidi wapi vitabu hivyo vimeruhusu hayo uyasemayo, wacha kuropoka na kuongea mambo kibubusa
  12. J

    JamiiForums Tanzania At least 321 people were killed and hundreds more injured in 8 blasts at Sri Lankan hotels and churches on Easter Sunday

    Epuka sana kucheza na imani za watu na pia jaribu kuficha ujinga wako. Kama huamini kitu fulani, haina maana ya kwamba unaruhusiwa kukashifu wengine ambao wanaamini humo. Jifunze kuheshimu wengine....
  13. J

    JamiiForums Tanzania Unapotoka kusaliti (kuchepuka), unapokutana na mwenza wako hivi unajisikiaje?

    Don't do this....inaweza ikaamsha mambo yote yaliyokuwa yamlala kwa mkeo. Isitoshe kutubia unatakiwa iwe kwa Mola wako muumba tu. Hata hapa kuja kutangaza ulichokifanya inaharibu pia toba yako
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni spesho kwa wanaume

    Kufeli ni kujitakia tu.....oa namba 2, mengine ya kwenye game mfundishe anaweza akaja kuwa vizuri kuliko huyo namba 1
  15. J

    JamiiForums Tanzania House4Rent Msaada ( dalali dodoma)

    Hii ipoje mkuu kimazingira na inaendaje kwa gharama yake?
Back
Top Bottom