Mwanamke kulia kwa sababu ya mchepuko

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,311
7,494
Nimejiuliza sana kwa aliyoyafanya huyu jirani yangu

Huyu mwana mama ana mume wake na watoto 4 na wa kwanza yupo kidato cha 4 wa mwisho yupo drs la 3

Huyu mwanamama alikuwa na mchepuko wake,sasa jana wakazenguana na mchepuko wake na mchepuko umemwambia kuachana naye

Mwanamama amebaki kulia tuu, amesononeka,ameonekana kama amevurugwa vibaya mno

Amekuwa mkali kwa mumewe na watoto na hata majirani zake, amelala na hataki kufanya shughuli zingine za kawaida

Mchepuko mwenyewe sio kwamba anamsaidia sana katika mambo ya kiuchumi,maana alivyo hana hili wala lile

Mwanamke amebaki kutuma watu kwenda kwa mchepuko wake asimuache,akimuacha atakufa

Mume wake yeye anadhani mke wake anaumwa

Nimebaki najiuliza,hivi kumpenda mchepuko kiasi hiko na huku una mume wako wa ndoa,na je huyo mume wako unampendaa?

Unawezaje kugawa upendo kwa wanaume wawili kwa mkupuo?

Nilifikiri kuachwa na mchepuko ni kitu rahisi maana una wako wa ndani kumbe sio kitu rahisi ninavyodhani

Sio siri nimebaki nasikitika
 
Hujawahi kugegedwa kwa kukolezwa wewe.
Nimejiuliza sana kwa aliyoyafanya huyu jirani yangu

Huyu mwana mama ana mume wake na watoto 4 na wa kwanza yupo kidato cha 4 wa mwisho yupo drs la 3

Huyu mwanamama alikuwa na mchepuko wake,sasa jana wakazenguana na mchepuko wake na mchepuko umemwambia kuachana naye

Mwanamama amebaki kulia tu,amesononeka,ameonekana kama amevurugwa vibaya mno

Amekuwa mkali kwa mumewe na watoto na hata majirani zake, amelala na hataki kufanya shughuli zingine za kawaida

Mchepuko mwenyewe sio kwamba anamsaidia sana katika mambo ya kiuchumi,maana alivyo hana hili wala lile

Mwanamke amebaki kutuma watu kwenda kwa mchepuko wake asimuache,akimuacha atakufa

Mume wake yeye anadhani mke wake anaumwa

Nimebaki najiuliza,hivi kumpenda mchepuko kiasi hiko na huku una mume wako wa ndoa,na je huyo mume wako unampendaa?????

Unawezaje kugawa upendo kwa wanaume wawili kwa mkupuo?

Nilifikiri kuachwa na mchepuko ni kitu rahisi maana una wako wa ndani kumbe sio kitu rahisi ninavyodhani

Sio siri nimebaki nasikitika
Screenshot_20190815-144642.jpeg
 
Mimi kama mume ningeliongezea dozi ya life tu ilo janamke
 
Back
Top Bottom