Recent content by Jicho la Tai

  1. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Bajaji barabara Kuu, Wakati wa Kuziondoa ni sasa! Anza na Dodoma.

    SIjasema serikali izitoe bajaji zisifanye kazi. Elewa mada
  2. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Bajaji barabara Kuu, Wakati wa Kuziondoa ni sasa! Anza na Dodoma.

    Ikiwa vituo holela vya mabasi vinachafua jiji, basi bajaji zinazosimama kila kona ya barabara kuu zinalichafua zaidi, na kuhatarisha maisha. Barabara kuu inapaswa kuwa na mtiririko unaotabirika. Ikiwa kila baada ya umbali mfupi kuna chombo kinachosimama ghafla kumchukua au kumshusha abiria...
  3. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Watanzania! Tutapanda mti gani leo, ambao watoto wetu watakula matunda yake kesho?

    Maono ya Waraka wa masaa 120 ya mwezi September 2026 kutoka kitabu cha wenye mamlaka (Waamuzi). Tazama, siku zitakuja ambapo watu wa nchi watakusanyika katika majira ya mashaka, na nyoyo zao zitajawa na maswali kwa sababu hawatajua yaliyo mbele yao. Nao watasema, “Ni nani atakayetutangulia? Ni...
  4. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Huu ni uchuro au Mungu anasema na mwanakijiji kuwa Kijiji kijiandae kwa lolote?

    Leo nimebahatika kupigiwa simu na rafiki yangu wa siku nyingi sana wa kijijini akanisimulia kisa na kuniuliza maswali ambayo sikuwa na Majibu. Kijijini kwao kiongozi weo alikuwa anaitwa Kifungo, na katika safu yake kulikuwa na Viongozi wengine ambao ni Makubaliano, Kibarua, Kitochi, na wengine...
  5. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Trafiki anusurika kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali akidaiwa kusababisha Bajaj iwake moto

    Haya ni matokeo ya kuendekeza bajaji kupita barabara kuu kama vile daladala huku wakiogopwa kufukuzwa kwa kauli tu utowasumbua wapiga kura. Watakuja kusababisha madhara makubwa
  6. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Mume wangu ananipa laki 5 kila mwezi mama anadai hazitoshi nirudiane na x wangu

    Pole kwa changamoto. Muulize Mama yako yeye anapewa kiasi gani na mume wake? Na Je anawasaidia ndugu zake? Ukiachana na ndoa kwa kujali ndugu zako basi ujue umekwishaa. Maana Mama yako ndio mchawi wa ndoa yako.
  7. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Picha na video zote ni za Morogoro. Kama umeangalia vizuri hiyo picha imekuwa captured toka kwenye video hiyohiyo ya Morogoro.
  8. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Kuna shida kubwa Bandarini, Serikali ipo kimya!

    Je Hii ndio DW Word imeanza kazi? au bado bandari wanasuasua? Kuna wakati ilitoka habari humu kuwa meli zinakaa muda mrefu bila kushusha mizigo mpaka ikafikia hatua meli zinahama bandari lakini Mamlaka ya Bandari wakakanusha pengine ni ukweli ambao ulifichwa. Hii dhambi ya kukanusha taarifa...
  9. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Kiukweli niliposoma kichwa cha habari nikajua kuna ukiritimba nikawa tayari kukupa mtu wa kukusaidia. Ila baada ya kusoma kisa kizima, nasikitika kwamba siwezi kukupa mtu wa kukusaidia. KUNA UKWELI HAPA LAZIMA TUKUAMBIE Jambo la muhimu lipa ada wanayokudai au peleka uthibitisho kuwa umelipa...
  10. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Yani ukiona hivyo ujue kuna halmashauri zina ukiritimba, hazitaki kuweka wazi, hivyo zinaona kuweka kwenye mfumo itawakosesha ulaji. Kuna watu maofisi ya Serikali wanapenda kutukuzwa na kufuatwafuatwa, ukiuliza sababu hapo watajifanya wanakupa sababu za kitaalamu kweli kumbe wanachosema...
  11. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Lazima namba ya simu uliyoandika iwe inaendana na ile uliyosajili wakati wa usajili wako wa Nida. Na Kama namba uliyotumia wakat unasajili nida ni tofauti, basi hakikisha namba ya sasa unayotumia imesajiliwa kwa namba yako ya ileile ya nida. kama unatumia namba ya mtu lazima utakwama
  12. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    As long as tunaona the re is no any way tunaweza judge wametuwekea vibaya au lah... kikubwa tunaviona na tunaamua wakat tumeshaona kama kuna korongo au alh kuliko ile njia ya mwanzo kwenye makaratasi makubwa kama mashuka ya mmasai
  13. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Sema vinakimbia sana, yan dakika chache tu nashangaa nilichokitaka kimechukuliwa.
  14. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja unakiona kwenye ramani kama ilivyo google map, tofauti na ile ya kwenye karatasi. Wengi tuna viwanja...
Back
Top Bottom