Recent content by Jhounne

  1. Jhounne

    JamiiForums Tanzania Mzee Yusuph, waliokushauri wamekudanganya

    Una ugomvi na mzee Yusuph?
  2. Jhounne

    JamiiForums Tanzania Aliyehukumiwa miaka 30 jela bila kosa aokolewa na Jaji

    Ameshatumikia kifungo chake kwa muda gani
  3. Jhounne

    JamiiForums Tanzania international left handers day 13th Aug

    Nikila na kijiko natumia left Kula kwa mkono natumia right hand
  4. Jhounne

    JamiiForums Tanzania international left handers day 13th Aug

    Yap, zamani nilikuwa napata shida nikimpa mtu kitu au kupokea kitu kutoka kwa mtu nikajifunza kutumia mkono was kulia nsiwakwaze watu
  5. Jhounne

    JamiiForums Tanzania international left handers day 13th Aug

    Kwa kweli mm sijakutana na changamoto Najivunia na NI kweli left-handers NI gifted wala si uongo
  6. Jhounne

    JamiiForums Tanzania international left handers day 13th Aug

    Asante sana
  7. Jhounne

    JamiiForums Tanzania 13 Agosti, siku ya watu wanaotumia mkono wa kushoto duniani

    Leo NI siku Yetu
  8. Jhounne

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni Dkt. Magufuli pekee 2020

    NI YEYEEEE[emoji3][emoji3]
  9. Jhounne

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

    Hahahah Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  10. Jhounne

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapigo matatu kwa Bernard Membe katika harakati zake za kuitafuta Ikulu

    Magu anapita kwa kishindo Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  11. Jhounne

    JamiiForums Tanzania Samaki samaki samaki ( Maji chumvi)

    Habari zenu wadau Karibuni sana mjipatie samaki wa baharini kwa bei poa kabisa nakuletea mpaka ulipo Dodoma Iringa na Morogoro tunakutumia Tunauza kwa kg (kilogram) Bei kwa 1kg ni Kingfish 17000 Changu 17000 Changu wekundu 16000 Jodari 14000 Tasi 13000 Kibua 12000 Kwa wale wanaopenda...
  12. Jhounne

    JamiiForums Tanzania Swali kwa mliokulia vijijini: Mlivyokuwa mnasikia Dar mlidhani ikoje?

    Nakumbuka nikiwa mdogo tulienda kijijni wakati huo Nyerere bado Rais Basi watu wanajua Kwa vile tunaishi Dar kila siku tunapishana na Nyerere Ukiwaambia hatumuoni wanashangaa hawaamini unaishi vp Dar halafu humuoni rais?
  13. Jhounne

    JamiiForums Tanzania Swali kwa mliokulia vijijini: Mlivyokuwa mnasikia Dar mlidhani ikoje?

    Lilikuwepo tanki lilikuwa bovu ndio chanzo Cha Hilo jinaujenz was barabara wakaja kuliondoa Sikumbuki lilikuwa tanki Kwa ajili ya nn , ila lilikuwepoo
Back
Top Bottom