Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Usitumie utabiri wako kwa takwimu za huko nyuma kumbuka chadema watakuja kivingine ya Malawi yanaenda kutokea Tanzania
Napenda unavyorudisha mapigo na jinsi unavyoitetea CHADEMA.

Kwamba CCM, kwa lugha yako "bila vyombo vya dola ni nyeupe", CHADEMA, kama ulivyodai hapo juu, watakuja kivingine. Japo hujataja wanakujaje kivingine, ushauri wangu, wakati wa kampeni, pamoja na kuieleza, kwa undani na ufanisi wa hali ya juu, Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu:-
1) Wasigusie kabisa shambulio la Lissu kwa kuwa si mtaji wa kisiasa. Kabla ya kampeni, ukweli wa shambulio hilo utamweka pabaya Lissu mwenyewe na viongozi wake;
2) Wagombea wajiandae kujibu tuhuma dhidi ya M/Kiti kwa matumizi mabaya ya fedha ya chama na rushwa ya ngono, ili kurudisha imani ya wapiga kura kwa chama.
3) Viongozi wa chama, kwenye kampeni, wawe makini kuhusu tofauti ya " maendeleo ya vitu na watu" kwani ahadi nyingi wakati wa kampeni ni maendeleo ya vitu.
4) Wajiepushe na matumizi ya lugha chafu, hasa dhidi ya Rais Magufuli, kwani katika historia ya nchi hii, ni yeye na Baba wa Taifa, ndio Marais wanaojulikana sana kila pembe ya nchi, kuanzia watoto hadi wazee.
5) Wajiandae kukabili changamoto za kutokuwepo Tume huru ya Uchaguzi na matumizi ya vyombo vya dola. Hivi ni vyombo vilivyopo Kikatiba na hata CHADEMA ikiingia madarakani itavitumia, kwa maana ya muundo wa vyombo na watumishi wake. Vitendo vinavyooneshwa sasa hivi na viongozi wa CHADEMA kuvishambulia, hasa viongozi wake, ni kujenga chuki tu.
 
Acha vitisho vya kipumbavu wewe. Karne hii bado tu unatumia ujinga kufikiri?
Nimeandika mawazo yangu. Hv unahisi Tl aitishe maandamano yasiyo na kibari then polisi watamuacha tu? kwakua yeye mlemavu? kawaulize wazee wa EAC, walifanywaje. Ninaongea kwa experience na sio mihemko kama wewe. Na sijaongea kishabiki ila hali halisi ilivyo na tabia ya TL ya kuropoka so inawatengenezea polisi chuki kwake kwa dharau na kebehi zake so lazima wa mind, na siku akiingia anga zao, mark my word, atajuta.
Wapuuzi kama wewe ndio waliotufikisha hapa kuwa taifa la maduanzi duniani. Kujazana hofu. Unayemsema tayari ana uzoefu wa risasi 16 mwilini. sihitaji kupewa uzoefu na jitu oga linatoka kuturudisha karne ya 17 kama wewe. Wazee wale ni History nao kama wako hai wana machungu yao. Narudia tena Tundu lissu ni yeye pekee anayewafaa wapuuzi wa desturi na wasiojali haki za binadamu kama wewe na ******** wako. You can Go to hell if still you wont understand my point here!. Kwamba watu wamechoka na wengi they have nothing to loose!
 
Mnaota ndoto, muulize mbowe alivyokimbia siku ya akwilina, utafikiri mwanariadha wa kenya.
Naomba sana tena kwa heshima na taadhima mmushauri Wakili Tundu Lissu ajihurumie na afuate masharti ya madaktari wake vinginevyo he will end up either going back to Belgium for more operations or in bed in Dar-es-Salaam or Singida undergoing serious illness if not lameness. Tunamsihi asjivikishe huko kwa sifa za muda mfupi. Kwani naamini mkewew na wale watoto wake wadogo bado wanamhitaji. Chonde chonde!
 
Wᴀɴᴀɴᴄʜɪ ᴛᴜɴᴀᴛᴀᴋᴀ ᴋᴜsɪᴋɪᴀ ᴋᴜᴛᴏᴋᴀ ᴋᴡᴀ ᴍɢᴏᴍʙᴇᴀ ɴɪɴɪ ᴀᴛᴀᴛᴜғᴀɴʏɪᴀ Wᴀᴛᴀɴᴢᴀɴɪᴀ ᴇɴᴅᴀᴘᴏ ᴀᴛᴀᴘᴀᴛᴀ ʀɪᴅʜᴀᴀ ʏᴀ ᴋᴜᴡᴀ ᴋɪᴏɴɢᴏᴢɪ ɴᴀ sɪ ᴘᴏʀᴏᴊᴏ ᴘᴏʀᴏᴊᴏ ᴛᴜ!
 
Wapuuzi kama wewe ndio waliotufikisha hapa kuwa taifa la maduanzi duniani. Kujazana hofu. Unayemsema tayari ana uzoefu wa risasi 16 mwilini. sihitaji kupewa uzoefu na jitu oga linatoka kuturudisha karne ya 17 kama wewe. Wazee wale ni History nao kama wako hai wana machungu yao. Narudia tena Tundu lissu ni yeye pekee anayewafaa wapuuzi wa desturi na wasiojali haki za binadamu kama wewe na ******** wako. You can Go to hell if still you wont understand my point here!. Kwamba watu wamechoka na wengi they have nothing to loose!
Asante mpumbavu.
 
🤣🤣🤣🤣 muulize da mange.. Lissu gombea uongeze CV , urais hatuwezi kukupa agent wa mabeberu.
 
Mange haikuwezekana tu kwa sababu ya timing. During Election time it's much easy kuorganize ... watu wanakuwa na Euphoria. Unahitaji watu kama 50,000 tu kulianzisha .... Kama wameweza Egypt, Syria hivi kweli unafikiria Tz haiwezekani kwa ajili tu ya POPLICCM ...!!
Yaani mnataka tuwe kama Syria??
 
LISSU ndiyo habari ya mjini maana habari za sgr, stieglers gorge, bombardier zilisha expire na ndo maana jamaa yupo kimyaa hana jipya.
 
Pamoja na kwamba hayo maneno hayafurahishi kuyasikia, lakini hatutegemei mgombea aseme kukiwa na wizi wa kura nitakubali yaishe.
Mgombea wa aina hiyo atakuwa mpuuzi wa kutupwa.
Hizo ni tambo tu za kuwashawishi wafuasi wasikate tamaa.
Hata hivyo, ni muhimu kuwajenga wananchi wawe majasiri katika kusimamia haki zao, siyo kwenye uchaguzi tu hadi kwenye maisha yao ya kila siku.
Woga ni umasikini, wananchi hawatakiwi kuwa waoga lakini watumie akili pia.
 
Back
Top Bottom