Recent content by JHOBO

  1. J

    JamiiForums Tanzania Je, Vyombo vya Dola vimezidiwa na "Genge la Watekaji"?

    Maaskofu wameuliza swali; Je, watekaji wamevizidi nguvu vyombo vya Dola? Kwanza tuangalie watekaji wanamiliki nini? 1. Magari ya kifahari, LAND CRUISER, NISSAN n.k., na plate no. za TANZANIA ambazo wanaweza kuvuka hata mpakani mwa nchi na nchi bila shida. 2. Silaha nzito za kivita wanazoweza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Press conference za mzee Butiku na Dr. Nchimbi, nani ana busara?

    Kati ya mzee JOSEPH BUTIKU na Dr. EMMANUEL NCHIMBI nani ana busara? (Hatima ya mkoa mkoa wa RUVUMA na viongozi wake Kwa waliosahau, Dr. Nchimbi ndiye alikuwa mbunge wa Jimbo la Songea mjini 2010-2015. Kwa waliosahau, Dr. Nchimbi ndiye alikuwa waziri wa mambo ya ndani wakati DAUDI MWANGOSI...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Serikali itatumia viongozi wa dini kutaka kuzuia maandamano

    Nchimbi kaongea kwa sababu ya press conference ya mzee BUTIKU tu. Hakuna kingine chochote. Kuhusu maandamano au ghasia yoyote Ile Nchimbi anakua namna ya kushughulika nayo, kwa wasiomjua Nchimbi ni mafia kuliko mafia wote uliowahi kuwajua hapa TZ!!!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ni nukuu gani tu ukiisikia unajua imetoka kwenye filamu gani?

    "You need to learn how people think"
  5. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    1. Jeshi la polisi linaajua watekaji. 2. Ofisi ya DPP wanawajua watekaji. 3. TISS wanawajua watekaji. 4. CCM wanawajua watekaji. Watekaji ndio wauaji.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Trump assassination attempt VS Lisu Assassination attempt: Similarities and Differences

    Kwanza TUNDU LISSU Bado Yuko hatarini sana mi nafikiri kushindwa kwa jeshi la polisi kuwabaini washukiwa, ni uthibitisho tosha wa kushindwa kwa serikali, bunge na vyombo vyote vya Dola katika kulinda raia wake na kuwahakikishia usalama. CCM must go!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Aliyemshoot Trump ni Gen Z wa USA Thomas Methew Crooks miaka 20, nimeogopa sana 🐼

    Gen Z tuna jambo letu mwakani, hapa apa Tanzania vizazi vingine kaeni mkao wa kutupokea na kutusapoti.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Dr Mtokambali awatangazia Baraka za Utatu Watoto, Chipukizi na Vijana wa Tanzania wenye umri wa miaka 0-40

    Amen 🙏. Gen Z tuna jambo letu mwakani, hapa apa Tanzania vizazi vingine kaeni mkao wa kutupokea na kutusapoti.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

    Mkwara??? Toka umepigwa mikwara 😂 umewahi ogopa au kuacha ulichotaka kukifanya? Mkwara wangu mimi kama nani hata nikutishe wewe? Hapa tutashirikishana maarifa na uzoefu ukiona yanakufaa unachukua unatumiwa maishani au hayakufai piga chini pita hivi 🤐🤐🤐 Kama unanihitaji anza wewe kunitafuta, au...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

    Ki intelijensia, kama mimi natafuta utambulisho wako halisia kwa muda mrefu na cjafanikiwa kupata, naweza kukuchimba kupitia swali kama hili linaloonekana kuwa la mzaha lakini nikapata vidokezo vya kuendelea kukujua wewe kwa utambulisho wako halisia. Na baada ya hapo lolote linawezekana...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Watangazaji waliokuwa wanamuhoji Ruto, Tanzania hatutowapata wa kiwango kile daima

    Hili kweli "Bufa" 🤣🤣🤣 Yaani limetumwa kuja kutusisitizia tuwe chanzo cha kuonesha mabadiliko na ukosoaji waziwazi. Hata kama sipendi picha ya mama basi nijirekodi naichambia halafu nijipost 😂😂😂😂 (Mbeya) Bufa kwa taarifa Yako haujui siku wala saa, na hamasa itaanzia humuhumu.
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wengi sasa wamekuja na huu ujanja mpya, wanaume tuwe makini

    Umeshapiga nini mzee? Kama vipi omba mzigo apo uwe unapoza rim
  13. J

    JamiiForums Tanzania Watangazaji waliokuwa wanamuhoji Ruto, Tanzania hatutowapata wa kiwango kile daima

    Unataka awe chanzo cha mabadiliko ili mumpoteze??? Mifano ya mliowapoteza hamuioni kama inatosha???
  14. J

    JamiiForums Tanzania Watangazaji waliokuwa wanamuhoji Ruto, Tanzania hatutowapata wa kiwango kile daima

    Ndio, kundi la nzi wa kijani lote wanamtegemea NAPE NA JANUARY
  15. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa elimu ya juu nchini na hatima ya wahitimu kuijenga Tanzania tuitakayo

    HALI ILIVYO NA MAMBO YA KUANGAZIA: Bado kuna ombwe kubwa la kutofautiana katika ujuzi na maarifa miongoni mwa baadhi ya wahitimu wa vyuo tofauti waliosomea shahada zinazoshabihiana. Aidha wanafunzi wengi wa vyuo vikuu na wahitimu wa vyuo hivyo wamechagua au wamesomea shahada za fani...
Back
Top Bottom