Recent content by JGV

  1. JGV

    Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    sasa kosa la nani hapo kama sio wewe au mkeo!!!.. hata kama binti mwenyewe anaonekana anakiburi ila kosa kubwa mmelisababisha wenyewe. nani alitoa hizo nguo chumbn?!!
  2. JGV

    Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

    Hahahahaa Mbavu zangu mie jamani. Mkuu mpe vidonge vyake.
  3. JGV

    Nimeolewa nina watoto wa 2, mume wangu anaongea maneno yanayoumiza

    Mmmmh Ndoa hizi ni majanga tupu!
  4. JGV

    Mnaowekwa Profile Picture mnatumika

    hahahahaaa uuuuuuiiiiii mbavu zangu mie!
  5. JGV

    Wadada warembo wana mambo sana

    Wakuu, watu wamefunga!! Tunapandishana mlima kilimanjaro bure!
  6. JGV

    Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    Ila sio siri inauma, Unamwandaa mwanao kwenda shule asubui then unapata taarifa kuwa mwanao kafa!!!.
  7. JGV

    Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    Huyo mama wa wanao alikosa upeo wa kufikiri na kutafakari kwa kuona mbali. amejifunza!
  8. JGV

    Kanibwagia mtoto mlangoni, sasa ndoa yangu imeshikiliwa na kamba nyepesi mno

    Muombee tu msamaha mkeo. kwa hali aliyokukuta nayo na kwa namna alivyokusaidia lazima tu aumie kwa huo usaliti wako. ukiangalia na mtoto yupo na amemuona na kwa miaka yote umemficha kwa miaka karibia minne.
  9. JGV

    Maneno ya kejeli ya mume wangu

    Jipe moyo dada. Mwenyezi mungu anakuona mpaka ndani ya moyo wako. Kazania maombi na utashinda tu.
  10. JGV

    Maneno ya kejeli ya mume wangu

    sijui kama utakuwa mwana ndoa ndugu yangu. ndoa inauma sana. kuondoka sio suruhisho. Na ndoa nyingi siku hizi ni za hivyo hivyo. vinginevyo ataolewa hata mara kumi na wanaume ndo wale wale na kelo zao ni hizo hizo kama si kuchepuka ni kulewa na mambo mengine. NDOA NI UVUMILIVU..
  11. JGV

    Maneno ya kejeli ya mume wangu

    Amen. Mungu amutie nguvu huyo dada ili asimame kwenye maombi tu na mungu atamjibu. Mwenye haki huwa haachwi na mungi.
  12. JGV

    Wazazi wa mke wangu wamehamia kwangu kabisa, nyumbani hakukaliki

    Mkuu usiongeze matatizo kwa kukubali kuwa na huyo moreen au mchepuko wako! watakuua hao wanawake. mkeo atavuta huku mchepuko huku mwisho wa siku wanakumaliza. Hao wazazi sio bure kutakuwa kuna tatizo huko makwao. wote wawili watahamiaje kwako kwanza ni aibu. miaka yote hiyo wanaishi kwako...
  13. JGV

    Comparison between Kenya and Tanzania (Tofauti kati ya Kenya na Tanzania)

    heheheee hapa nipite tu maana huu ni uwanja wa wasomi, wanaenglish tu na wanahistoria!
  14. JGV

    How to track someone's phone?

    Mleda mada ahsante sana. Nilikuwa na hii hii shida na hivi majuzi nimeingia kwenye mtandao nikasoma kuhusu hizihabari na nikajifunza mengi bt bahati mbaya mlengwa wangu yupo dar na mm nipo mkoan! kuispy sim yake ni shida kwa sababu sipo karibu nae ili kufanya hizo installations. Ninapata shida...
Back
Top Bottom