Recent content by JGG

  1. J

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

    Yuko sahihi kabisa, ignorant, arrogant, stupid and a sadist
  2. J

    JamiiForums Tanzania Sekretariati ya ajira (psrs: uhalisia wa ajira Tanzania

    siyo kosa lako kuwa na iq ya panya, ni kosa la genetics
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Paper Tigers wanatushauri tususie chaguzi zijazo ili CCM wapite bila kupingwa

    Tuelewe mazingira yetu, tujielewe sisi wenyewe na tuwe na nidhamu ndani na nje ya Chama. Asante raisi wa Tz 2020
  4. J

    JamiiForums Tanzania GPA ya 32, maandiko yametimia

    Uko sahihi na ni wachache sana watakoweza kuelewa ile logic. Pili, kimsingi walifeli sana, km waliwalenga wasomi watapuuza upuuzi kuwa mtu anaweza kusoma na asijue gpa na km waliwalenga wapiga kura wao, most hawajui gpa na mbaya zaidi hawatanunua upuuzi kuwa eti msomi ana degree lakini hajui...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sekretariati ya ajira (psrs: uhalisia wa ajira Tanzania

    Assistant Lecturer
  6. J

    JamiiForums Tanzania Sekretariati ya ajira (psrs: uhalisia wa ajira Tanzania

    1. Sawa bosi ila mi dada 2. Kwa shule nina; a) F4, division one b) F6 PCB, divison one c) BSc wildlife management, GPA 4/5 d) MSc natural resources management, GPA 4.25/5 e) PGD business administration, Very good 3. Kwa ufaulu huu kweli usipewe nafasi ya usaili kazi ya kufundisha? 4. Uzoefu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Sekretariati ya ajira (psrs: uhalisia wa ajira Tanzania

    We lazima utakuwa mdau na mhusika wa karibu kwenye fursa za PSRS, please enjoy your loot
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sekretariati ya ajira (psrs: uhalisia wa ajira Tanzania

    Mr Xavier Daudi, Sekretariat ya Ajira (PSRS), hivi kweli katika zama hizi za ukosefu wa ajira Tanzania inawezekana vipi mtu moja pekee atimize vigezo vya kuitwa kwenye usaili wa nafasi ya ASSISTANT LECTURER (WILDLIFE)? Hii nchi nimenyanyua mikono. Nashauri kila mtu TZ sasa aelewe na atambue...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Creation si ndo upumbavu kabisa, inasema mwezi ni mwanga, yani mungu aliuumba mianga mikubwa miwili, yani mungu aliyeumba universe hajui kuwa MWEZI SIYO MWANGA
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Mfano, adui wa arab au muislamu ni myahudi ni akili ya mungu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Ndo uwezo wa juu kabisa wa kufikiri? Unaelewa maana ya mtiririko au ile akili tu kuamini kwamba ni kitabu cha mungu, kaisome utaelewa kuwa haina mtiririko wala consistency
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Panyakili ndo tatizo la watz wengi including you
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Hapa umeongea nini au ndo uzalendo uchwara
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mh Tundu Lissu kuhusu mifuko ya jamii na fao la kujitoa

    Huyo jamaa anastahili kuongoza nchi
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Uongozi si zawadi wala kipaji

    Chukua signature yangu mkuu, shaka yangu mahakama zenyewe ziko mfukoni mwa jamaa, so kushinda ni ndoto japo itakuwa hatua nzuri ya kupeleka ujumbe
Back
Top Bottom