Recent content by jfmwaipopo

  1. J

    Mbowe, Slaa na Zitto tuvusheni 2015 salama

    Ukiangalia kwa makini siasa za Tz tangu kuanzishwa kwa vyama vingi utagundua kuwa CCM kina fikra za kuliongoza taifa hili milele na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM na serikali wamejitokeza hadharan kutangaza kuwa CCM itatawala milele. Kwa kufanikisha kusudio hilo CCM kimekuwa kikitumia...
  2. J

    Prof muhongo uko wapi?: Mbeya hakuna nguzo za umeme toka mwezi wa kwanza huu

    Waziri wa nishati na madini pindi alipoteuliwa pamoja na moja ya mambo aliyoahidi ni kushughulikia tatizo la upatikanaji wa vifaa TANESCO kama vile nguzo ambazo zimeonekana kuwa tatizo kwa muda mrefu. Lakini kwa masikitiko zaidi binafsi nikiwa kama raia wa chi hii nimelipia nguzo tanesco toka...
  3. J

    Mh. Mbowe nakuheshimu, tuoneshe mkanda wa Arusha!

    unasema mwangsi waliweka hadharani labda jiulize kidogo then what next au kipi kimetekelezwa if not acha ushahidi wa Mbowe usubiri tume huru ya kimahakama !
  4. J

    Mtoto wa Chacha Wangwe azua balaa CHADEMA

    chadema kila mtu ana haki ya kugombea cha muhimu wajenge chama na kusubr taratbu za uteuzi ndan ya chama.hii ni kuonesha pia chama kimekua!
  5. J

    Maneno ya Shitambala juu ya CHADEMA yalikuwa kweli

    ni miongoni mwa wanambeya mapumbavu. haipasi kumjadili mtu huyu tunampaisha ! let us discus nation
  6. J

    Uzinduzi wa kampen S/mitaa CHADEMA yavua mabalozi wa CCM Mbezi Beach Jogoo DSM

    Wakikabidhi kadi kwa mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA taifa mh Mabere Malando . Wazee nguli wa CCM mtaa wa Jogoo ambao pia walikuwa wajumbe wa nyumba kumi kupitia CCM jana katika uzinduzi wa kampeni za serikali ya mtaa wa Jogoo wakijitambulisha kwa majina yao ambao ni mzee Vasorela Boniventure...
  7. J

    Polisi na siri ya gwaride la utambuzi kwa majeruhi Arusha mlipuaji na sare za madaktari hospitalini?

    Siku za mwizi wa arobain , Mungu kaanza kuwaaibisha. walianza na cd ya Rwakatale imegoma kuplay.Sasa wameanzisha hii nyingine. Kwa CCm kuua si ishu pinda kadhihirsha hayo pamoja na wabunge wa ccm kwa kushangalia kauli ya Piga, pigen, Piga hao tumechoka. Kwa kauli hiyo tutarajie kupigwa sana na...
  8. J

    SHIVJI: Serikali tatu ni kuvunja muungano

    Ni mtazamo wake. kwa sasa mfumo wa serikali tatu haupingiki ni kujipanga tu namna ya kuunda vinginevyo muungano uvunjike kabisa. Labda pia angetoa mawazo yake ni mfumo upi anautaka na kwa jinsi gani utekelezeke. Mfumo wa serikali mbili umeprove failure hauna haja wa kuujadili. Mfumo wa serikali...
  9. J

    CUF yaomba kuongoza kambi rasmi ya upinzani bungeni

    kwan cuf ni chama cha upinzani au ! labda kuongoza uliberali lkn hata wanajua cio wapinzani.
  10. J

    Hamad Rashid: Wabunge wa upinzani wamekosa nidhamu na umoja

    Huyu kamanda kachoka kisiasa akapumzike kwa amani ili alinde heshima yake otherwise anajichafua mwenyewe machoni pa watanzania. Yeye kama mpinzani wa kweli alianzaje kuasisi kambi ya upinzani isiyo rasm bungen. Yeye huyo huyo anakuja na hoja kuwa wapinzani hawana umoja hili hali yeye ni muasisi...
  11. J

    Kwa hili, Dr. Slaa wewe ni 'Mdini' pia!

    WABHEJASANA Kaka unaposem dr slaa ni mdini kwani yeye ni serikali. Tuache ushabiki ili titatue maswla haya mazito yanayolikabli taifa kutokana na udhaifu wa serikali iliyopo madarakani. Serikali ituambie imetekeleza lipi kati ya yaliyotokea kuhusiana na migogoro ya kidini zaidi ya kuonesha...
  12. J

    Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

    TBC irushe matangazo hayo kama inavyofanya kwa magamba wakati wa shuguli za kichama. Navishauri pia vyombo vingine vya habai vijitokeze kurusha uzinduzi huo ili kusaidia watanzania wengi kujua nchi yao ilivyoporwa.
  13. J

    Makamba: Hotuba ya Msemaji wa Kambi ya Upinzani ni Nyepesi

    huwezi kufananisha TANU na CCM , kam wazee wa TANU wangefufuka na kuoneshwa CCM kuwa ndio TANU wangekufa tena mara moja.. labda makamba angetnutajia mafisadi wawili tu wa TANU alinganishe na mafisadi walioko ccm akianza na mzee wake Yusuph Makamba.
  14. J

    Ukimya wa prof baregu juu ya mchakato wa katiba

    haya bwana kama hivyo ni sahihi its ok
  15. J

    Ukimya wa prof baregu juu ya mchakato wa katiba

    Ndugu wana jf ni ukweli usiopingika kuwa taifa la tanzania lipo katika hali mbaya takriinaban katika maeneo yote. Leo hii ukimuuliza hata mtoto wa darasa la kwanza atakuambia kuwa hali ya maisha si nzuri kwani wazaz wanashindwa kuwapatia mahitaji yao muhimu kutokana na ugumu wa maisha...
Back
Top Bottom