Recent content by JFMemba

  1. J

    Utaratibu wa kuzuia magari kwenye misafara ya viongozi ubadilike

    Leo sijui kiongozi gani alikuwa na ziara ipi mi sijui lakini kile kitendo cha kuwekwa saa mzima Ubungo pale tunasubiri mtu mmoja apite ni kaushamba sana. VIONGOZI hawaoni kwamba hii ni kero kwa wananchi, wewe hayo unayoyafanya ndio yanakupa ulaji, pengine hata usipofanya ziara mshahara utapata...
  2. J

    TAMISEMI wanachangia sana kushuka kwa elimu nchini

    Ifike mahali sasa OR-TAMISEMI wapunguziwe majukumu. Kwa kiasi fulani nadhani nao ni sehemu ya kuharibu ubora wa elimu nchini. Najua TAMISEMI wanahusika na TSC, TARURA, DART, Afya, Elimu, etc yani kwa ufupi ni kama wapo kila kona, pamoja na hayo eneo ambalo unaweza kuona wamejikita na wanasikika...
  3. J

    Learn to work, don't work for money! Najuta kuupoteza muda kwenye elimu

    Yani mabilionea na mamilionea unawajua wewe? Kuna mtu kasema bodaboda mkiwa mmelala kwenye pikipiki hizi ndio story zenu yuko sahihi sana. Fanya kazi acha kuota
  4. J

    Umoja wa Bodaboda wamjibu Lema, wanasema wana Maisha mazuri kuliko Walimu

    Bodaboda ni nini katika mataifa yaliyoendelea na mwalimu ni nani katika mataifa hayo? Hata katika taifa hili lisiloendelea, bado huwezi linganisha mwalimu na bodaboda. Tatizo tuna watu wasiofanya research kupata uhalisia.
  5. J

    Serikali kuwajadili waliokataa Ukuu wa Wilaya

    Hao wala haina haja ya kutumia nguvu. Wahamishiwe kuwa wakufunzi chuo chochote cha ualimu grade A, au ofisi za TSC wilaya yoyote au wathibiti ubora wa shule (tena wale wa chini) Mtumishi haruhusiwi kukataa uhamisho, hapo watakuwa wamewamaliza maana sifa ya kuwa kiongozi CWT ni uwe mwanachama na...
  6. J

    Somalia wapiga marufuku Sambusa

    Umeambiwa Alshabab, sasa wewe unadhani hata shule wanazo?
  7. J

    Kama kweli Nabi kakataa Fei Toto kurudi kambini, yuko sahihi

    Umesoma vizuri kweli concern ya Nabi? Yeye kasema tena kiufundi kuwa kuondoka kwake ghafla kulimvurugia match plan zake na kulazimisha kufanya technical changes. Yeye habri za ugomvi haongolei. Yule yuko smart sana
  8. J

    Kama kweli Nabi kakataa Fei Toto kurudi kambini, yuko sahihi

    Mkuu hakuna anayekataa kuwa Fei Toto ni mchezaji mzuri. Lakini pia majeruhi hata yeye anaweza kupata akiwa Yanga au Azam. Ninachoongea mimi ni kuwa mchezaji ambaye nafsi yake iko upande mwingine utamlazimisha? Kwa vyoyote vile hawezi kuwa huru tena, fikiria tayari coach kapoteza imani nae hapo...
  9. J

    Kama kweli Nabi kakataa Fei Toto kurudi kambini, yuko sahihi

    Nimeona taarifa ya kuwa Nabi kakataa Fei Toto kurejea kambini hata baada ya mgogoro wake na club kusuluhishwa. Kama ni kweli basi huyu kweli ni Professor haswaa. Viongozi wa Yanga hawakupaswa kabisa kukomaa na mchezaji ambaye tayari saikolojia yake haiko kwenye timu. Nawahakikishia itasumbua...
  10. J

    Yanga acheni kuhangaika na Feisal, ni ushamba

    Sakata la Feisal na Yanga linaendelea kupamba moto. Bahati mbaya hizi timu za Simba na Yanga zina maujinga sana. Ndio maana utaona kila siku zinakuwaga na habari za wachezaji waliowakariri. Utasikia Manzoki, Miquisone kila timu inawataka. Hamnaga scouting timu za maana? Hivi sasa nasikia Yanga...
  11. J

    DOKEZO TAMISEMI ingilieni kati sakata la walimu kutapeliwa na Afisa Elimu wao huko Katavi

    Walimu waliofanya kazi ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne Kanda ya Nyanda za Juu mwezi Julai mwaka 2022 hawajalipwa pesa yao hadi leo na wamekuwa wakipewa ahadi hewa na bosi wao ambaye ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Katavi. TAMISEMI wasaidieni walimu walipwe haki yao maana inaonekana kama bosi...
Back
Top Bottom