Recent content by jewenkela

  1. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

    1 na 2 ni kwa kiasi kidogo sanaaa, 3 ndo baba lao
  2. J

    JamiiForums Tanzania First round selection

    Kila nikiconfirm inaniambia failed to connect to tcu. Kuna aliekutana na hii changamoto kwa chuo cha Dodoma na ameitatauaje
  3. J

    JamiiForums Tanzania Binti afunguka kuwa mwanaume aliyefungwa miaka 30 jela siye aliyempa ujauzito

    Mi ndo maana nasema ni ajenda flani ya siri sana juu ya wanaume ambayo wanaojiita wanasheria wameicope kichwa kichwa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Binti afunguka kuwa mwanaume aliyefungwa miaka 30 jela siye aliyempa ujauzito

    Hii sheria ya miaka 30 kisa mimba kwa kweli naiona kama ajenda flani ya siri juu ya wanaume. Ni yakikatili sana. Na angalu ingekuwa inasubili uthibitisho wa DNA. Nina watoto wa kike ila sidhani kama nitabariki mtoto wa watu afungwe miaka 30 kwa sababu ya nyege za binti yangu vinginevyo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaidieni rafiki yangu achague lipi kati ya Ndoa au Scholarship (Elimu)?

    Samahani mkuu, wewe ni nshomile? Nasema tena samahani
  6. J

    JamiiForums Tanzania Internet ya bure imeharibu betri ya simu yangu

    Natumia halotel na nimeweka thunder vpn ila ila kila nikiwasha data vpn inaload na kufeli kwa kuwa sina data, nifanyeje hapo?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwenye mkataba nimemwandika kama mrithi Ila yeye kamwandika baba yake

    Ushawishi utakao pelekea singo maza mwingine kuzalishwa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ifuatilie semina wanazopewa Watumishi wa Umma wanaotaka kustaafu

    Pesa yangu, alafu unipangie jinsi ya kuitumia, hehehe!!!! Shida wabongo wengi hawana akili kabisa. Wamebaki kuigaiga tu. Unakuta mtu anakomaa kusomesha watoto private from kindergarten to university kisa tu jilani yake ambaye ni banker watoto wake wapo st nani nani. Sasa na yy anataka...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ukweni ni kuzuri ukiwa na uwezo wa kuwabadilishia maisha yao kuwa bora

    Kuna yule mwamba lisimulia humu aliemnunuliaga shamba mama mkwe wake na kumjengea nyumba plus choo cha kisasa sijui alilipwa nini
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Watanzania wajifunze nini Uchaguzi Kenya?

    Lengo lako nini sasa, kwamba tume huru haina maana au!?
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Ndugu yangu kuwa na akiba ya maneno tafadhari. Kwa kauli zako ni sawa kabisa na kauli za yule bosi wa titanic. Lakini hakuamini macho yake siku anaona titanic yake ilivyokuwa inafukiwa na vilindi vya maji pasi na msaada wowote. Na msingi mkubwa wa hao unaowasifia ni umbumbumbu wa wanaowaongoza...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumekosea wapi? Nilidhani masihara kuwa gharama za vifurushi zimeendelea kupanda

    Mkuu eb nipe nadini, napataje hizo free vpn
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake wasilalamike kuachwa, wajiangalie tabia zao

    Am talking from experience
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake wasilalamike kuachwa, wajiangalie tabia zao

    Wana viburi shetani hagusi, bila mijeledi atakudharau sana. Na ukishamlipia mahari kama si wa kwao kukuacha dakika 0. Yani wanafanya kama biashara
Back
Top Bottom