Recent content by Jewel_

  1. Jewel_

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiyo Hayati Benjamin Mkapa wa Tanzania!

    Hapo kwenye watoto ndo kuna utata
  2. Jewel_

    JamiiForums Tanzania UNAKUMBUKA: A wreath for Father Mayor

    Rosa Mistika sio Shaban Robert usitudanganye Ni Euphrase Kezilahabi Nduguru ni mwandishi mzuri mno Nilipenda riwaya yake ya divine providence Ile niliisoma hata baada ya kufutwa kwenye literature shuleni.
  3. Jewel_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

    Sema kweli 🤭
  4. Jewel_

    JamiiForums Tanzania Mshangazi wa Ilala alivyowasambaratisha kwa ugonjwa hatari wanamuziki wabendi kubwa nchini

    Unaleta umbea nusunusu si umtaje
  5. Jewel_

    JamiiForums Tanzania Staff members wa JF waliopo online

    Mhhhh ila wewe 🤣🤣🤣🤣 Basi huyo wa mbele ni cocastic
  6. Jewel_

    JamiiForums Tanzania USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

    USAID inakufa na mashirika mengi IRC, ICAP, AMREF, n.k Vilio ni vingi sana
  7. Jewel_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata mchempuko permanent

    Usisahau Trump amesitisha Jichanganye
  8. Jewel_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio kila mtu ni muandishi mzuri wa thread..

    Kuna nini kwani
  9. Jewel_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

    Ni dhambi kwani?
  10. Jewel_

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo mwanangu hapendi Kula

    Mchunguze nini anapenda zaidi Mshirikishe kwenye mchakato wa uandaaji wa chakula yaani ukiwa unapika unaweza kuwa naye kumuentertain like mnapika pamoja, mpe mwiko walau ashike tu Epuka kumpa vyakula vya sukari 1hr before eating kama biskuti au pipi Mpe sana machungwa yanasaidia sana kuleta...
  11. Jewel_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

    Utoto tu Una safari ndefu bro Hata geto tu uliazima
  12. Jewel_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

    Wapi tena huko????
  13. Jewel_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

    Naona unanipambania ndugu asante sana 😅😅
  14. Jewel_

    JamiiForums Tanzania Mungu anisaidie 2025 nipate kazi

    Mungu asikie kilio chako...utapata very soon
  15. Jewel_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila Mwanamke Ana Wanaume Watatu

    Mwanamke gani huyu mwenye njaa anafurahia sh efu saba?
Back
Top Bottom