Recent content by jeuriyao

  1. J

    ITV kurusha leo live mkutano mkubwa wa CHADEMA Dar

    Huku Simiyu mjini Bariadi matangazo ya CHADEMA kesho mda huo atakuwepo kamanda Tundu Lisu akihutubia tutafutilia kwa karibu pande zote mwaka, huu hadi kieleweke
  2. J

    Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

    Mawazo mgando hayo hivi watanzania n lini tutajitambua???? Au ndo mapungufu ya elimu yetu???
  3. J

    Wafanyakazi wote, hasa walimu tukutane hapa ili tuiondoe hii Serikali madarakani

    Ujumbe huu umekuja muda muafaka kazi kwenu kuhakikisha mnajipanga vzr kumwondoa mkoloni mweusi ccm kwa hujuma zake na ufisadi wa kutisha. Naamini kwa umoja wetu inawezekana.
  4. J

    Wafanyakazi wote, hasa walimu tukutane hapa ili tuiondoe hii Serikali madarakani

    Hbr hii ni ujumbe tosha mapambano yanaendelea
  5. J

    Tathmini ya BRN chini ya Omari Issa

    Unaanzishwa mpango lkn utekelezaji wa bajeti hata robo ya bajeti haifikiwi means hakuna hela zote wamefisadi mipango karibia yote ndan ya halmashauri haitelezeki kwasababu ya kukosa fedha hiyo BRN ni viini macho tu hakuna jipya hapo tutakalopata wa tz that is a shame
  6. J

    Viongozi CWT wahujumu mfuko wa maafa Bariadi

    Viongozi wa cwt bariadi wamehujumu mfuko wa maafa kwa kufanya ni mradi wao wa kujilipa posho bila kutoa huduma kwa wathirika wanaokumbwa na majanga kama vile vifo na matibabu kwa kisingizio cha mkurugenzi hatoi hundi. Ni miaka miwili sasa wakiwa wanajinufaisha wenyewe huku wakishindwa kusoma...
  7. J

    Hujuma CWT mfuko wa maafa Bariadi

    Kwa mzee wa vijisent kaka uko tz ipi?
  8. J

    Hujuma CWT mfuko wa maafa Bariadi

    Wana jamvi hizi ndizo hujuma zinazofanywa na CWT 2% kila mwezi ya mshahara na sh1000 kila mwezi eti mfuko wa maafa wizi mtupu
  9. J

    Hujuma CWT mfuko wa maafa Bariadi

    Chondechonde viongozi CWT-Bariadi mmediliki kuhujumu fedha za mfuko wa maafa bila hata aibu. Mfuko huu ulianzishwa maalumu kwa lengo la kuwasaidia walimu pindi wanapopatwa na maafa kama vile kufiwa,rufaa,matibabu na majanga mengine kama kuvamiwa na majambazi Ni takriban miaka 10 sasa toka...
  10. J

    CCM mnalijua hili, mpaka Oktoba majembe yenu yote yatakuwa yameundiwa zengwe

    Umetumwa nini????? na inavyoonekana hujitambui uozo uliopo serikalini hata mtu wa kawaida kabisa anaufahamu iweje wewe mtoa mada uje ni majigambo ya kiwenda wazimu humu au ndo buku saba inafanya kazi toa aibu yako humu......
  11. J

    Urais 2015: UKAWA waanza safari

    Tunawatakia kila la heli Mungu yu pamoja nanyi
  12. J

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ndo biashara ya chuma ulete wizi mtupu kila kona na kila sector hi ndo TZ
  13. J

    Masikini Kikwete! Chama Chamfia Mikononi!

    Naona na ww umekaa mbele ukimtumainia kwa buku saba zake. Atumainiae binadamu amelaaniwa weka tumaini lako kwa Mungu ndo mambo yote.
  14. J

    Arukwa na akili baada ya kutangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM

    Kwa magamba fursa hiyo ya demokrasia itatoka wapi ameshakuwa chizi tayari. Mtoa mada kakupa full habar ila unabisha bila hoja. Huyo mgombea kwisha hbr yake.
  15. J

    Arukwa na akili baada ya kutangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM

    Huyo mzee ni mengi yaliyochangia kwani kwa muda wote ndani ya utumishi wa ccm ni maskin wakutupa huku bosi wake chenge akiwa billionea dhiki,njaa, na umaskin vimechangia achanganyikiwe
Back
Top Bottom