Recent content by jesus ii

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    kama niwakipona atapona bila hata kufanya huo upuuzi usio na tija
  2. J

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Tumesimamisha bomoabomoa ili wananchi washerekee sikukuu vizuri! Tunapunguza dhambi kwa Mwenyezi Mungu

    nchi imejaa dhulmaa hii watu wanapelekwa kama makondoo na mtuu mmoja tuu ila tunashukuru mungu kila mtu ataondoka tuu tubomoleen dunian mtabomolewa mbinguni
  3. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    huku kwetu kahama hatuna shida ya umeme kabsaa labda mvua ikinyesha ndo tanesco wanakata ikiisha wanarudisha tushazoea
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

    kasome kwanza din sio siasa
  5. J

    JamiiForums Tanzania AIBU: Waalikwa Ikulu kuinuka na kutaka kuondoka kabla hata Rais hajainuka ni aibu

    kiswahili kinaeleweka vzr kama hamna maswali basi asanten mara 2 unasubir nn uko kwa watu
  6. J

    JamiiForums Tanzania ACT, wake up. The Time Is now! Ushangazeni Ulimwengu sasa!

    hiyo pesa ya kuwafanya wa amke iko wap inawabid walale maana hamna namna siasa imekua ngumu kuliko jembe la mkono awamu hii walio lala jua imewalazimu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kutokana na sababu hii, CHADEMA inasambaratika na CCM inainuka

    kwa siasa sa awamu ya tano CDM inapita wkt mgumu mno lkn bado wako imara na ndo chama cha upinzan kilichobaki nanguvu CDM bado iko imara japokua inafanyiea figisu figusu za kila aina uimara wa CDM utajulikana 2020 kama uchaguz utakua huru
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    kavunja katiba ya nchi kwa maneno hayo anatakiwa ashtakiwe MA****LI MUST GO
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila nikirudi nyumbani nakuta msichana wa kazi anaangalia 'porn'

    usijaribu kurisk maisha yako na mkeo kwajambo linaloepukika mrudishe kwao ndo salama yako naomba fanyia kazi ushauri wangu tafadhali
Back
Top Bottom