Recent content by jeshi la mtu moja

  1. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Tanzania Kioo cha solar kimevunjika baada ya kukuanguka chini!nitapata wapi kioo kingine?

    Aisee!naomba msaada nifanyeje Sent from my itel_it1701 using JamiiForums mobile app
  2. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Tanzania Kioo cha solar kimevunjika baada ya kukuanguka chini!nitapata wapi kioo kingine?

    Jamani kioo cha solar kimevunjika baada ya kukuanguka chini!nitapata wapi kioo kingine?au niganyeje?ila inafanya kazi bado!anayejua anisaidie
  3. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Tanzania Hatari Kama Ni hivyo

    Kivipi?kwani nchi zingine zikiungana kama russia China na nchi za ulaya kumwekea marekani vikwazo,he haiwezekani?hapo kuna ninia Sent using Jamii Forums mobile app
  4. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Tanzania Hatari Kama Ni hivyo

    Napenda kujua kwanini marekani anamamlaka kumwekea nchi yoyote duniani vikwazo vya uchumi?anayejua anijulishe Sent using Jamii Forums mobile app
  5. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Tanzania Urusi yapeleka meli za kivita 17 Syria kutokana na hofu ya shambulio la Marekani kwa vikosi vya Syria

    Kipindi hiki lazima zipigwe Sent using Jamii Forums mobile app
  6. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Tanzania Marekani ndio nchi pekee duniani inayopokea misaada ya kijeshi na kijasusi ili kuikabili Urusi

    Nachekaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Tanzania Kweli Kenyatta anamwogopa Raila

    Jamani aliyemwapisha Raila kaachiwa huru na serikali ya Kenyatta!
  8. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila kamshinda kenyatta

    Kajwang aliyemwapisha Rails kaachiwa sasa hivi,hivo Ni pigo kwa kenyatta
  9. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Tanzania Fahamu undani wa vita kati ya Israel na Palestina

    Mimi ninavojua ni kwamba baada ya miaka 70 baada ya Bwana YESU kufufuka na kurudi kwa MUNGU wairael walichukuliwa matekwa wale wenye nguvu na wale dhaifu waloachwa!Israel walioachwa nchini mwao waliendelea kuzaa ila baadhi ya familia yao walizaliana na waarabu na ndyo wapalestina,hivyo Israel...
  10. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni kuwaelewa Wakenya!

    napita tu
  11. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Tanzania Mbunge mwanaume amposa mpenzi wa kiume bungeni Australia

    no homa ya dunia
  12. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Tanzania Mbunge mwanaume amposa mpenzi wa kiume bungeni Australia

    no homa ya dunia
  13. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Tanzania CIA akiri kumuua Bob Marley akiwa hoi kitandani

    kweli watasema waliyoyafanya
  14. jeshi la mtu moja

    JamiiForums Tanzania Nipe maoni yako kuhusu mada hii.

    hatari
Back
Top Bottom