mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,188
- 6,011
kwahio biblia ya Quran no ushirikinaAkili za kuaminibushirikina zikiathiriwa na ushrikina uwa taabu sana
kwahio biblia ya Quran no ushirikinaAkili za kuaminibushirikina zikiathiriwa na ushrikina uwa taabu sana
Mkuu lekebisha hizo kumbukumbu zako,marekani amekurupuka mara nyingi tu ki vita na kushindwa,refer vietnam war and cuban crisisKuna siku hapa ndani wengi wataukana upande wa Pyongyang........kwenye kumbukumbu zangu hakuna siku hata moja hawa jamaa marekani wamekurupuka kwenye vita...muda woote wanajivuta lakini wakiamka wameamka
Mbwembwe tu. Sa si wampige? au bado wanaomba mizimu yao iwaruhusu?Watageuza tena maneno; watapiga mayowe anaonewa! Team Kiduku ni wa ajabu kidogo. Mkuu wewe unaielewa vizuri Amerika; namwona Secretary of Defense na timu yake wakipiga kazi 18 hours a day to explore "different options" kabla ya kuzifikisha mezani pa Commander-in-Chief kwa ajili ya maamuzi ya mwisho. Sasa wanywa viroba humu wasiojua hata mkuki unashikwaje kelele tupu; wanadhani vita ni sawa na mdundiko.
Jambo lisilo na shaka ndani yake ni kwamba Kim anaenda kufanyiwa kitu mbaya no matter what; ni suala la muda tu; kwamba Kim atapigwa sio suala la mjadala.
Sas kaka hiyo ni lamuli yako tuu teena nazani itakua ni lamuli chonganishiiiWatageuza tena maneno; watapiga mayowe anaonewa! Team Kiduku ni wa ajabu kidogo. Mkuu wewe unaielewa vizuri Amerika; namwona Secretary of Defense na timu yake wakipiga kazi 18 hours a day to explore "different options" kabla ya kuzifikisha mezani pa Commander-in-Chief kwa ajili ya maamuzi ya mwisho. Sasa wanywa viroba humu wasiojua hata mkuki unashikwaje kelele tupu; wanadhani vita ni sawa na mdundiko.
Jambo lisilo na shaka ndani yake ni kwamba Kim anaenda kufanyiwa kitu mbaya no matter what; ni suala la muda tu; kwamba Kim atapigwa sio suala la mjadala.
Acha habali za kufikilika kakaaahio vita ikipigwa ndo itakuwa vita ya 3 ya dunia na ikimalizika dunia itayumba kiuchumi na hapo ndo lengo la kuwa na dini moja, chama kimoja, siku moja ya kuabudu na utawala mmoja utatangazwa na hapo ndo shetani ataanza kutawala
Kaka upo sawa kabisa jeshi la kim linawatu wasiokua na akili za kawaida yaan za kibinadamu so hawamwez kimMarekani hupima kina cha maji kwanza kabla ya kujitosa! Tangu enzi za bush walishapima maji ya korea kaskazini wakaona ni maji marefu yasiyoogeleka! saa hii inawabembeleza china na urusi waunge mkono kuwatenga korea ya kusini lakini wamewatolea nje! Baada ya kuithibitishia dunia pasipo shaka kuwa korea ya kaskazini ina uwezo wa kutuma kitu kikatua popote pale duniani, wamehaha na wameshaanza kufufua alarm za kushtua watu dhidi ya shambulizi la nyuklia.
Marekani kajaribu mikwala na vitisho vyote vimegonga mwamba. Mara tu baada ya ziara ya Trump huko Asia iliyojaa vitisho na mikwara ya midege lukuki ya kivita ndo jamaa akarusha missile ya masafa marefu ambapo mpaka sasa Trump hajairopokea huko twitter kama alivyokuwa anafanya hapo mwanzo. Ulimi wake umeshafugwa tayari, chezea kuduku wewe!
Sasa mkuu tufanyeje? sisi hukuWatu wengi humu hawana elimu ya uhusiano wa kimataifa.
Hapa watu wanajua hiyo hatari ni ya Marekani tu na wenyewe hawahusiki.
Suala la N. Korea ni la kimataifa
Nakumbuka haya majamaa yalikuja kumbamiza Osama tukiwa tumeshamsahau kabisa kama wanamtafuta..USA waliambiwa warushe risasi Moja tu ndani ya N Korea, wanaogopa, wamebaki Na mipasho tu utadhani kina Hadija Kopa
Korea kasikazini ni socialist state na socialist state huwa supreme leader ndio ticket of almost everything. So USA should think twice before attacking North Korea. USA ina enemies wengi ambao ni very dangerous & waiting for the right time to revenge against this warmonger. Anyway personally I just pray they find a common ground for win win situation. But not like wat happened to libya under Gaddafi. Nk is a free state and not under any kind of foreign powers like USA.Nakumbuka haya majamaa yalikuja kumbamiza Osama tukiwa tumeshamsahau kabisa kama wanamtafuta..
Ogopa sana mtu unamtishia yeye katulia hakuoneshi hata kisu, wewe unamuonesha silaha zako zote yeye anakwambia acha ugomvi tu..
Haya majitu hayakurupuki, hayabadiliki!
Pyongyang siyo Baghdad mkuu hao ni watu hatari kumbuka vita vya Cambodia Marekani alitoka mbio hawa marekani wanakera sana kujifanya mapolisi wa dunia kama ana uwezo si aende tu kwa nn anahitaji msaada wa China?Kuna siku hapa ndani wengi wataukana upande wa Pyongyang........kwenye kumbukumbu zangu hakuna siku hata moja hawa jamaa marekani wamekurupuka kwenye vita...muda woote wanajivuta lakini wakiamka wameamka