Recent content by jery tarimo

  1. jery tarimo

    Anayejua maana ya kitambulisho cha Mjasiriamali atuambie

    unaweza hakina jina wala picha bali ukikichukua upande wa pili kuna karatasi isioambatana nacho umaandika jina lako tena wewe mwenyewe bila picha na hiyo kadi unaeza itoa kikabak kitambulisho tupu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. jery tarimo

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    MCHAGGA HUYO KAPATIKANA NA MJANJA MWENZIE[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  3. jery tarimo

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa KAZEE WA OCG..
  4. jery tarimo

    Maulid Said Mtulia umepotoka!

    Pesa Sabuni ya Roho
  5. jery tarimo

    Lazaro Nyalandu ajiunga CHADEMA rasmi, Mabomu ya Machozi yapigwa

    Sii kwa kasi hii ya 4G ya magufuli huu ni utawala wenye ukombozi wa wananchi na Nchi yao kwa jumla 2year tunashuhudia babadiliko ambayo Jk alipew miaka 10 yote kaishia ahadi na vibarabar anajisifia navyo
  6. jery tarimo

    Lazaro Nyalandu ajiunga CHADEMA rasmi, Mabomu ya Machozi yapigwa

    Naamnin 2020 chadema itapeleka mbunge mmoja tu bungeni na si mwngine atakua ni Nasari pekee tuombe uhai tuone maajabu ya kuporomoka kwa CDM
  7. jery tarimo

    Lazaro Nyalandu ajiunga CHADEMA rasmi, Mabomu ya Machozi yapigwa

    Hata haendani na hayo madude ya vidole juu kabisa bora angebaki na chama tulivu chake
  8. jery tarimo

    Nauza line za uwakala tigo pesa na mpesa.

    Laini zinatolewa bure airtel mtaji wako tu 400,000=
  9. jery tarimo

    Nauza line za uwakala tigo pesa na mpesa.

    Bei yake kivipi ikiwa zinatolewa bure boss pia ukinunua mkoani inabidi ukaibadlishe kwa wakala mkuu na pia jina hapo ungepunguza bei
  10. jery tarimo

    Nimeshuhudia upotoshwaji mkubwa uliofanywa na waziri Charles Mwijage mkoani Mwanza

    Atakua kuna mvinyo huwa anakunywa kabla ya kuongea
  11. jery tarimo

    Magufuli atembelea shule aliyosoma (Katoke Seminary),atoa milioni moja kukarabati dirisha alilovunja

    kitanda toka form3 mpka sas hv kipo duu Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom