Recent content by Jerusalem24

  1. J

    Tanzania Inajipanga Kuacha Kutumia Fedha za Kigeni Kuagiza Mafuta Nje ya Nchi

    Yan sina hamu mwaka jana walituhamasisha kulima alizeti saana, ila saiv wameondoa kodi kwa waagizaji wa mafuta nje bei imeporomoka.........mkulima wa alizeti yeyote tanzania saiv ni kufukuzana na hasara tu Bora wangesema wataondoa kodi za matajir wanaoagiza mafuta, ili tusingejichosha kulima...
  2. J

    Mbeya na Rukwa: Natafuta wanunuzi wa alizeti

    Bei maelewano kulingana na market price pamoja na kulingana na aina ya mbegu iliyopo........karibu mawasiliano hayo hapo
  3. J

    Mbeya na Rukwa: Natafuta wanunuzi wa alizeti

    Ninauza alizeti zipo mkoa wa mbeya mjini na Rukwa bondeni. Mawasiliano ni 0769902875 Karibuni sana, bei ni maelewano. Nb: Alizeti ni ya mwaka huu imetoka shambani.
  4. J

    Natafuta wanunuzi wa mbegu za alizeti

    Habarini wadau ninauza mbegu za alizeti safi kabisa, zina mafuta mengi. Zipo Mbeya Mjini na bonde la Rukwa. MAWASILIANO ni 0769902875, Bei ni nzuri na bei ni maelewano Nb: Mbegu ni mpya za mwaka huu zimetoka shambani
  5. J

    Kwa tunaotaka kuanza freelancing

    Namba yangu 0769902875 nitafute mkuu, nahitaji kujifunza hio kitu
  6. J

    Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi halafu asiitwe kazini

    Iko hivi watu wanashindwa kuelewa kuna mtu alipata 95 written ila hakupata kazi, inawezekana kabisa na wengine wanahisi amehujumiwa kumbe alifanya vibaya oral interview Mkiwa shortlisted watu 100 mnapoingia oral interview mnaanza na moja means marks za written hazitumiki tena, sasa watu...
  7. J

    DStv nao wamepandisha vifurushi

    Vip mkuu umefanikiwa kuwapata hao wachina?
Back
Top Bottom