Bado tupo wengi mkuu na tutaendelea kuangalia DStv maisha yakipanda na akili inabidi ipandeHao hata wakipandisha naina sawa tu.
Kwanza sidhani kama kuna mtu bado anaangalia dstv nyumbani labda kama ni kwa ajili ya business tu.
Mi nilinunua mwaka 2018 baadae nikaachana nao wamebakia kunipigiapigia simu na sms kunirubuni na maofa ya kunilaghai ili niweze kuweka kifurushi lakini hata mpangi sina.
Nilichoamua ni kufunga azam na star times kwa ungo wao huohuo halafu decoda la kwao nimengoa na kulitupia stoo ya chakula cha mifugo
Sasa hivi bado kupandisha nini? Maana kila kitu kishapanda
Kero kuu ya Dstv Ni kurudia vipindi Yan sio muvi au kule kwenye documentary kote wanarudia kunasiku nimekaa na madogo wanachek katun yan wanaelezea kitakachotokea Sasa nikasema nn maana ya kulipia hii kitu tena ghali.
Mwenye mbadala wa DStv aje sema usije na stori za Azam au startimes
Hii ndipo unasema KIMEUMANA
Vip mkuu umefanikiwa kuwapata hao wachina?Mwenye connection ya wale Wachina wanao modify na kuuza card za DSTV naomba ani PM tafadhari