Recent content by Jerusalem2006

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Sukari cha Tajiri wa Simba, Mo Sugar, kipo wapi?

    Hiyo inaruhusiwa kwa mtanzania yeyote, % kubwa ya viwanda vya pombe hasa za spirit akina smart gin, cucker, hawazalishi spirit, wanachanganya na kufanya packaging, mafuta ya kupikia hivyohivyo wana important mapipa na kufanya packaging, wauza korosho nchini na nje ya nchi kwenye super markets...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je viongozi wanatoka kaya masikini nao wanaakili za kimasikini mfano Mwigulu!?

    Hakuna akili ya kimaskini, unajua form four,form six na vyuo kwasasa wanaomaliza hizo level na kuingia mitaani ni watu wangapi kwa mwaka!?,kwahiyo waziri mkuu kuwatafutia fursa za kazi Qatar ndo akili za kimaskini!?,hao Kenya unaowatolea mfano unajua kwamba wanaongoza Africa mashariki kufanya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je viongozi wanatoka kaya masikini nao wanaakili za kimasikini mfano Mwigulu!?

    Mara nyingi mtu anayependa kuongelea mambo ya maskini na umaskini ni mtu aliyezungukwa na umaskini. Huwezi kukuta mtoto wa tajiri hasa aliyezaliwa kwenye mzunguko wa pesa anaanzisha thread kama hizi. Kwani kuzaliwa kwenye umaskini dhambi!?,kwanini tusiache nature ijiendeshe?,kuna umuhimu wowote...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Katambi asitisha mfumo wa kukata point madereva

    We jamaa hata tulio upande wako tunashindwa kutoa like, Katambi kafanyaje?,kasemaje!?,weka hata link basi. Kwa jina kubwa kama lako kuanzisha thread namna hii sio sawa. Unakuwa umerudi nyuma miaka 10.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya nchi ilivyo sasa; madereva waliogoma wajiandae kisaikolojia

    Umeuliza maswali ya kijinga sana, unafikiri Yutong namba ERY ni sawa na bajaji ya milioni 11 au Boxer ya milioni 3 na nusu, kwamba mtu akigoma leo kesho unaipaki au unampa dereva yeyote tu!?,kwa taarifa yako hao madereva ni wazoefu wa muda mrefu, kuanzia experience,umakini, nidhamu barabarani...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa bilionea wa Nigeria aliefariki akila bata refu bila kujali baba yake alivyojinyima, siku alizokosa usingizi, mateso, aibu & stress alizopitia

    Kila kitu mnasingizia ngozi nyeusi, mtu yeyote anayeleta story za ngozi nyeusi kila kitu mara zote hajawahi ishi na wazungu au nchi za wazungu, wazungu wapo aina zote kama weusi tu, roho mbaya, ushirikina, uchafu, ukatili tena zaidi ya weusi. Kuna wazungu wanatumia hela hovyo tena za baba/babu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa yanki miaka 10+ na 20s nilidhania siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidiii, sikuwa sahihi, siri ya mafanikio ni connection na favour

    Huyu labda anaongelea connection kama za Taahilaah na Lukas muwashambwa za kumshambulia Lissu na Chadema 24/7 JF ili walipwe😂
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa yanki miaka 10+ na 20s nilidhania siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidiii, sikuwa sahihi, siri ya mafanikio ni connection na favour

    Siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii, hiyo itabakia hivyohivyo miaka yote. Connection inakukuta ukiwa unafanya kazi kwa bidii, haikukuti ukiwa kwa shemeji yako unaangalia TV. Wale watu wanaolalamikaga nina ndugu yangu yuko vizuri serikalini au cheo kikubwa kampuni fulani lakini hanipi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya Alizeti "Pure" Dumu 12 Mbezi - Magufuli

    Kwahiyo Lita 20 = 110,000/=, Lita 1 = 5,500/= , dumu la Lita 5 = 27,500/= na unayemuuzia Lita 20 kwa 110,000/= bei ya jumla akafanye packaging mwenyewe, atauza kwa shilingi ngapi apate faida angalau!?..., Wewe ni mjasiriamali au umeachiwa mzigo upuyange nao!?, N.B. Watu kama mimi usiwachukie...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kuna yule Chawa wa Kuitwa Zack Abdul sijui. Aione hii.

    Ameitwa chawa Zack, chawa Taahilah umekuja fasta, au wewe ndo chawa wa zamu nini!?😂😂
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya Alizeti "Pure" Dumu 12 Mbezi - Magufuli

    Dumu 12, dumu moja ni 110,000/= , dumu 1 lina Lita ngapi!?, au dumu lako la 110,000/= linaingia dumu ngapi za Lita 5!?,kwa mujibu wa tangazo lako Lita 1 shilingi ngapi??,muwe mnarudia kusoma matangazo yenu kabla ya kupost muone kama yanaeleweka, sijui huwa mnakimbilia wapi!?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Moshi ni takataka kabisa 🚮

    Hilo jengo na barbershop viko wapi?,vikoje?,au huu uzi wachangie wanaotokea Moshi mjini tu wanaoijua Stendi na jengo la uchumi!??,jamii forums sijui imekuaje, mpaka ID kongwe zinaanzisha thread kimazoea.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaishije na jirani anayefungulia sabufa hadi mwisho

    Mimi niliishi nyumba moja ya kupanga Kinyerezi chumba na sebule, nyumba ipo juujuu, kwa chini kuna mama mmoja anaishi na watoto wake wawili wa shule ya msingi, alikuwa akifungulia subwoofer asubuhi mpaka saa 4 usiku, nikamfata mara mbili. Akaniambia yupo kwake yeye hajapanga, nikaenda serikali...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Ni Kwanini Wanachama Wa CHADEMA Wanatukana Sana Matusi na Kukosa Adabu? Je Kuna Chuo Cha Matusi Wanachomiliki?

    Tafuta kazi za kufanya usije kuolewa mtoto wa kiume, kubadilibadili I'd ili tu kuwasema Lissu na Chadema ni tabia za kichoko. Umeshaonekana chawa kila sehemu lakini huna mishipa ya aibu hata ya kujishtukia, humu jukwaani unaonekana takataka tu. Kazi kulamba makalio ya viongozi.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Elezea Mushi kafanyaje!?,kwanini huwa mnaleta thread kama vile kila mtu anamjua huyo Mushi na familia yake walichofanya!?,kama kuna thread ilitangulia weka link watu wasome ndo watoe maoni yao.
Back
Top Bottom