Recent content by Jerry Rebiam

  1. Jerry Rebiam

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ko brother nitumie nin kutoa hela mana sitaki kutumia mawakala
  2. Jerry Rebiam

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilimtumia wakala ku deposit
  3. Jerry Rebiam

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jaman natumia Equity Bank natoa hela kutoka 1xbet inashindikana kwan nakosea wap mwenzenu Card yangu ni master Card
  4. Jerry Rebiam

    Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

    Manara Asante kwa mchango wako mpaka tulipofikia Binafsi nashukuru kwa ulichotufanyia wana Simba na Kila la heri uendako.
  5. Jerry Rebiam

    Nimebutua maisha je, Nimepata au nimepatikana?

    Canada kuna watu zaidi ya million 300 sasa kama wote ni wanawake nenda utakua umepata kama kuna wanaume na hawana mvuto nenda Mwisho wa siku mubaguliwe na wazungu kumbe ujinga wenu tu
  6. Jerry Rebiam

    Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

    Huu uzi tuufufue kabla ya mwez wa 5
  7. Jerry Rebiam

    Natafuta ps 2 na flat screen 3 used

    Jaman mwenye card ya Ps 2 na yupo mbeya tufanye biashara nna 15k na iwe na data
  8. Jerry Rebiam

    Siri kubwa bao la Clatous Chama

    Hio video mi nmeiona bana
  9. Jerry Rebiam

    Simba kama tukitolewa na hao Wanaijeria

    This is Simba Brother
  10. Jerry Rebiam

    Mapenzi ya go and retain, No

    Mapenzi ya go and retain no kabisa
  11. Jerry Rebiam

    Wimbo mpya: Alicia Keys Ft Diamond Platnumz

    Hua naziheshimu sana MB zangu ila kwa huu wimbo binafsi nimedownload Nyimbo sahihi kwa wakati sahihi...mond ana ya kujifunza sana toka kwa wasanii wakubwa duniani humu kakaza kinoma alafu sauti classic sana...kifupi kaua kinoma
  12. Jerry Rebiam

    Ferouz huyu tutampata wapi? Fundi wa kutongoza hadi mara ya pili

    Mleta Uzi umezingua kutoleta verses zote
  13. Jerry Rebiam

    Hivi unajisikiaje kuiingizia kampuni hasara

    Usimsahau juma lokole
  14. Jerry Rebiam

    Hivi unajisikiaje kuiingizia kampuni hasara

    We unamuenz kuliko wazaz wake
  15. Jerry Rebiam

    Hivi unajisikiaje kuiingizia kampuni hasara

    Natumia startimes wasafi TV hua wanaweka sports arena live kaka
Back
Top Bottom