Recent content by Jerhy

 1. Jerhy

  Biashara ya dagaa

  Je unawauzaje? Kwa ndoo, gunia, ni Aina gani ya hao dagaa
 2. Jerhy

  Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

  Honda CR-V Rd1 Front cross shaft joint, Rear Shock up, Rear trailing arm bush,
 3. Jerhy

  Computer4Sale Computer CPU inauzwa kwa bei nzuri

  Money talks; naitamanije vile. Graphic Card ikoje specification zake mkuu, sorry.
 4. Jerhy

  Mkuranga: Tahadhari Simba Wawili Wameonekana Msitu Wa Vikindu

  Unafikiri zile goli 4 mchezo? Lazima vichaka vitikisike tu na mzee wa pori ahame mbuga!
 5. Jerhy

  Wapigadebe Stendi ya Msamvu wana ushawishi kuliko wa stendi zote nchini

  Ukiwa makini tega sikio usikilize/jifunze ladhuzi ya kiswahili chao utajua ni wazawa wa kutoka kisaki, kinole, mgeta, n.k ni mapromoter wazuri kama Bwakila mwenyewe, kwa hali kama hiii hivi unaachaje kupanda BUS lao hata kama halina kiyoyozi?
 6. Jerhy

  Design simple za Nyumba vyumba 2

  Mwaka umeisha hii post haijapata jibu[emoji867]
 7. Jerhy

  Pamoja na kwamba Taifa la Norway lina kiwango kikubwa cha gesi linategemea kwa kiasi kikubwa umeme wa maji (Hydroelectric power)

  Hivi Maji kweli tunayo ya kutosha ili kufyatua huo umeme lakini au tubachimba malambo yatakayokuja fukiwa na matope msimu wa masika?
 8. Jerhy

  Uzi maalum kwako waziri Lukuvi na watendaji wa Wizara ya Ardhi kwa ujumla

  Ukishapima hayo maeneo kwa kuwa bado ni mapori/mashamba na uhitaji wa kufyeka walime waweke mbegu wapate chakula basi wananchi wanaingiza matrekta na kulima wanang'oa bikoni, ndo hali halisi ilivyo uwandani.
 9. Jerhy

  Madirisha ya aluminium yanaruhusu mbu

  Kwani mbu wanazuiwa na aina ya madrisha kwamba ukiweka hayo ya kisasa ndo mbu hawaingii ndani ya jengo lako! Suluhuya adha hiyo ni hakikisha chamber za Maji taka zote hazina upenyo wa mbu kufanya mazalia karibu na mji wako, pia uwe na utaratibu wa kuspray kuta madawa ya kuzuia wadudu kama mbu...
 10. Jerhy

  Wauzaji wa mbao zenye dawa /Treated kutoka mafinga

  Hii dawa mnaichovya wenyewe halo buguruni au mnachukua mbao toka site kwa Melab huko mafinga zikiwa tayari zimeshachovya kwenye dawa na kukaushwa na kunyoshwa na mitambo ile?
 11. Jerhy

  Wauzaji wa mbao zenye dawa /Treated kutoka mafinga

  Ainisha bei zako mi nahitaji PC 600 za mbao
Top Bottom