Recent content by jeremiahy

  1. J

    Kazi ya kujitolea ya Sales and Marketing ya Microfinance bank

    Habari za jioni member!! Anahitajika kijana jinsia yoyote anayeweza kufanya vizuri kazi za marketing, na sales. Katika microfinance bank, kwa maana ya kutafuta clients na kufanya kazi nyingine inayohusiana na hiyo awe anaishi maeneo ya tabata, segerea kinyerezi, buguruni, mbezi na maeneo...
  2. J

    Medicins Sans Frontieres (MSF) ni nani?

    Pia wana ofsi zao temeke.solo la maguruwe karibu na magorofa ya nhc tandka
  3. J

    Vision Fund Arusha, msaada wa kupata maelezo zaidi

    hii ulifanikiwa kufanya usaili?
  4. J

    Nafsi moja ya kazi kwa binti wa stationary.

    Nahitaji binti wa stationary sifa,Awe na uzoefu wa kazi za stationary usiopungua mwaka mmoja,elimu kuanzia kidato cha nne,mwaminifu,umri kuanzia miaka 17 mpaka27.kipaumbele kitakuwa kwa wakazi wa mbezi,kimara,goba na maeneo jirani na hayo .kwa aliyekidhi vigezo tuwasiliane kuptia...
  5. J

    Am serching for a job in a school but not as a teacher

    jitahdi kufanya application hasa kwenye shule kubwa naamin utapata.watu wamekalili kuwa kila anafanya kazi shule ni mwl.pia hujasema kama una experiences yote
  6. J

    NMB northern zone wamejibu

    hongereni wadau mulioitwa ,naomba kuuliza kwenye issue ya departiment ulikuwa unajaza nin??nahisi ntakuwa nilikosea kipengere hicho...kuhsu mshahara usitaje specific angalia rink ya graduate mshahara anaanzia sh ngap wawaza kusema kati ya laki 6.5 mpaka laki8
  7. J

    KAGERA: Watanzania 56 watekwa na kuuawa na askari wanaodhaniwa kuwa wa nchi jirani

    mkuu misterdenis nakubaliana na wew na,nlichokisema ninakijua vizur!!but hilo ziwa la Rwanda ntakutajia kwa sasa nmelisahau.kabla kuingia ziwa hlo unaanza na ziwa moja lililoko Tanzania linaitwa katwe na jingne mitoma.then ndo unaukuta Mto kagera then ukivuka ndo unaingia Rwanda kuptia...
  8. J

    KAGERA: Watanzania 56 watekwa na kuuawa na askari wanaodhaniwa kuwa wa nchi jirani

    hiii issue imeanza mda mrefu n watu weng wameuawa hko kyerwa na karagwe.inasemekana wavuv toka Tanzania huwa wanaenda kuvua kwenye ziwa lililoko kwenye game reserve Rwanda hilo ziwa huwa Lina samak weng wa kufugwa.hii issue imeanza mwaka juz ka sijakosea.wavuv hawa wakifanikiwa kutoka salama...
  9. J

    KAGERA: Watanzania 56 watekwa na kuuawa na askari wanaodhaniwa kuwa wa nchi jirani

    ni watu wengi sana wamekufa kwa sababu ya hyo issue haikuanza leo imeanza miaka ya nyuma.inasemekana hawa watanzania walikuwa wanaenda kuvua kwenye ziwa ambalo liko Rwanda ndani ya game reserve ambapo kuna wawekezaji wanaofuga hao samaki .mwanzon walikuwa wakiwakamata na kuwatishishia kwa kupga...
  10. J

    KAGERA: Watanzania 9 watekwa na kuuawa na Askari wanaodhaniwa ni kutoka Rwanda

    namshkuru waziri kwa jitihada zake katka kujaribu kutatua hili tatizo.nashauri wajaribu kuhusisha viongozi wa hapo katwe nadhan wanaujua ukweli zaid.watu walianza kupotea tokea mwaka Jana. selikari ilikuwa kimya sijui n kwa nin .mkuu wa wilaya wa aliyestaafu pia anaujua ukweli.
  11. J

    Hujuma Za CCM Chuo Kikuu Dodoma Zavuja

    Udom ni janga kubwa la taifa.kijana yeyote anaonesha kuwa upinzan lazma afukuzwe.sijui mwisho wa haya n lin .
  12. J

    Kwa maamuzi haya ya tume kwanini mkurugenzi wa Kyerwa asiwajibishwe kuonesha utawala?

    hmhuyu jamaa n matatizo na anashindwa kabisa kusoma alama za nyakati
  13. J

    Kwa maamuzi haya ya tume kwanini mkurugenzi wa Kyerwa asiwajibishwe kuonesha utawala?

    na limeathiri matokeo ya uchaguzi wa mwenywekt wa halimashauri.na je kuna uwezekano wa kupinga uchaguzi huo mahakaman? kwa wabobezi wa sheria naomba ufafanuzi,
  14. J

    Kwa maamuzi haya ya tume kwanini mkurugenzi wa Kyerwa asiwajibishwe kuonesha utawala?

    Habari za jioni wakuu, Mkurugenzi halimashuri ya Kyerwa kwa kuufahamu ukweli pamoja na kuaminiwa na chama CCM alilazimisha kumtangaza mgombea ubunge wa CCM kuwa mshindi ambapo ni dhahiri hakushinda na kumpokonya mshindi wa kweli Benedict Mtungireh. Huyu huyu alituma matokeo ya udiwani tume ya...
Back
Top Bottom