Huyo jamaa wa bandari namfahamu ni wa wa munjebwe. Najiuliza munjebwe na dhahabu wapi na wapi? Ila ni mbabe pia sishangai magufuri kumkabidhi bandari. Ndege wafafanao!!Okay
Mawazo yenu mengi ni mazuri sana. Haya siyo masiyala kwani kampuni ya ACACIA inawarudisha taklibani wafanyakazi 1400 mtaani kuanzia juzi tarehe 17. Kwa wanaopita katika mtandao huu ni vizuri kuyachukua haya yatakuwa na msaada mkubwa kwao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.